Recent content by Barugize

  1. Barugize

    JamiiForums Tanzania video converter master and serial key zake

    BADO
  2. Barugize

    JamiiForums Tanzania Natamani kujua kinachosababisha umasikini kwa vijana wasomi

    Habari za Muda huu wana JamiiForums. Mimi ni kijana mjasiliamali kwa muda wa mika 10, kuna mambo huwa najiuliza kila siku nikiwa peke yangu sasa leo nimona ni changie na wana JamiiForums wenzangu. Suala la Umasikini na Utajiri. Kwanini vijana wengi hususani Wasomi ndio wanao hangaika sana...
  3. Barugize

    JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu Wakatoliki kutokuabudu sanamu zilizopo makanisani

    Should Christians worship on Saturday or Sunday? It doesn't matter whether you go to corporate worship on Saturday or on Sunday, because that's not what really matters. What really matters is that you find your rest in Christ! And you can (and should) do that every day of the week!
  4. Barugize

    JamiiForums Tanzania TTCL fiber na Voda Supakasi ipi yafaa kwa matumizi ya home intaneti?

    Link ya TTCL THREAD https://www.jamiiforums.com/threads/ttcl-corporation-support-thread-maswali-ushauri-na-malalamiko.1743653/
  5. Barugize

    JamiiForums Tanzania TTCL fiber na Voda Supakasi ipi yafaa kwa matumizi ya home intaneti?

    Usiwaze Watakuja kukufungia mtafute kiongozi wa ngazi ya Juu
  6. Barugize

    JamiiForums Tanzania TTCL fiber na Voda Supakasi ipi yafaa kwa matumizi ya home intaneti?

    Gharama za kufungiwa Hiyo TTCL ni hizo apo
  7. Barugize

    JamiiForums Tanzania TTCL fiber na Voda Supakasi ipi yafaa kwa matumizi ya home intaneti?

    Nipe mimi hiyo laki 1
  8. Barugize

    JamiiForums Tanzania TTCL fiber na Voda Supakasi ipi yafaa kwa matumizi ya home intaneti?

    huwezi kupata speed zaidi ya hizo ispokuwa Airtel ndio Upload speed yao huwa inazidi na kupita kiwangu ulicho ungiwa.
  9. Barugize

    JamiiForums Tanzania TTCL fiber na Voda Supakasi ipi yafaa kwa matumizi ya home intaneti?

    Vifaa ni kwao, Vyote, wanahakikisha wanaunganisha mpaka unapata Interenet na ikiwezekana mpaka umeunganisha na kifaa chako cha Ofisini au nyumbani au simu au Computer yako ndio wanaondoka site.
  10. Barugize

    JamiiForums Tanzania TTCL fiber na Voda Supakasi ipi yafaa kwa matumizi ya home intaneti?

    Nanomba ni weke wazi uzoefu wangu kuhusu huduma hizi za Internet hususani kwa Makampuni Matatu ya nayotoa huduma za Internet: AIRTEL VODACOM TTCL Nitaanza na Airtel. Mimi Mwanzoni mwa Mwezi Mwezi March 6, 2023 niliunganishiwa na Airtel Huduma ya Internet yenye uwezo mkubwa wanafnga Vifaa vya...
  11. Barugize

    JamiiForums Tanzania Mtaji wa Milioni 5-10 (TZS): Biashara gani unaweza kufanya?

    HIYO NI NZURI SANA KWA WANO OGOPA RISK
  12. Barugize

    JamiiForums Tanzania Avafind ina-crash kwenye Windows 8/8.1

    ila bado Ava find ni nzuri zaidi tatizo la Ava findi ina stack kwenye windows 8.1
  13. Barugize

    JamiiForums Tanzania Kilimoo cha miti ya mbao Kibondo

    Acacia+mangium ni aina nzuei kwa MIti ya mbao Acacia+mangium
Back
Top Bottom