Recent content by bartholome

  1. B

    JamiiForums Tanzania Miche ya strawberry

    bawa mwamba mi niko mbeya mjini, je wewe upo sehemu gani na ninaweza kuja kuona iyo mimea?
  2. B

    JamiiForums Tanzania Miche ya pilipipili na Nyanyachungu

    Habari yako Masandare!! unawezatoa maelezo kidogo juu ya hayo mahitaji yako.. mfano: jamii ya pilipili husika (i.e mbuzi, kichaa, Jalapeno, Habanero, Scorpion n.k). Pia kiasi cha miche na unatarajia kuzipanda lini??
  3. B

    JamiiForums Tanzania Mambo ya kuzingatia katika uanzishaji wa magazine, soma hapa

    Aisee Bwa. Kanyagio huyo jamaa yako amefikia wapi?
  4. B

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha Alizeti (Sunflower): Masoko, Mbinu na Ushauri toka kwa wadau

    jamani wadau hayo mashamba yakukodi yenye ardhi nzuri yanapatikana wapi (eneo husika)? na ni bei gani?
  5. B

    JamiiForums Tanzania Mashine za kutotolesha mayai (Incubators): Upatikanaji wake, aina zake, matumizi na ushauri

    aise Chasha iyo machine bado haijafika?
  6. B

    JamiiForums Tanzania Msaada - Gharama ya Kujenga Nyumba Hii..!!

    Hello wana JF.. leo nimeona nitoe mchango kidogo juu ya hii mada ya Ogopasana kwani nina ufahamu kiasi na sekta ya ujenzi kwa kuwa mimi na msanifu majengo/architect in training... kwanza, picha na ramani ulizotoa hazijitoshelezi kimaelezo kutoa gharama halisi ya ilo jengo. pili: kuna vitu...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Natafuta Milunda na Mbao Zilizotumika

    wiseboy uko wapi? af naomba details kidogo ya upana, urefu na shape ya hiyo milunda.
  8. B

    JamiiForums Tanzania Msaada juu ya upatikanaji na Bei ya mbegu za pamba!!

    Habari zenu wana jamii.. Tafadhali naomba msaada wa habari kwa yeyote anayejua kuhusu upatikanaji na bei ya pamba kwa ajili ya kutungenezea mafuta!
  9. B

    JamiiForums Tanzania Mda muafaka tendo la ndoa ni upi?

    kanyasu well said... ngoja niongezee kidogo.. nikiassume kama wawili hao ni wana ndoa ama wapenzi wanaoishi pamoja... muda muafaka utategemeana na malengo, mazingira, muda, mood na hali, majukumu, uwezo, afya, **element of surprise**, n.k malengo: inategemea kama ni kwa kupeana raha ama kutunga...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Ufugaji wa Kuku wa Kisasa: Fahamu Mbinu, Faida, Changamoto na Masoko

    Habari wadau, Leo kwa mara ya kwanza ndo nimetumia jamii forum na nimeikubali 100% ina watu makini wapendao maendeleo! sasa wadau mnaweza kueka info zaidi ya hiyo topic maana its very interesting!
Back
Top Bottom