Recent content by Barriz

  1. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wazazi wa rafiki yangu, wanataka mke wa kwanza aoe Mkurya

    Kuna rafiki yangu ni mkurya, kaja analalama saaana ana mchumba anataka kumuoa. Sasa shida inakuja huyo binti yeye sio mkurya, sasa wazazi wa kijana wamemkomalia jamaaa atafute mchumba wa kikurya aoe maaana ni mke wa kwanza. Afu kama anataka kuoa mke wa pili ruksa kuoa kabila yeyote. Sasa mimi...
  2. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nakosa cha kuongea na mpenzi

    Hahahaaa wema kuiba umeme du hizo stori siwezi kwa kwel
  3. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nakosa cha kuongea na mpenzi

    Mkuu labda hicho ndo huniponza. maana Mimi huwa nataka tuongee vitu serious tyuuu nahisi ndo maana inakua hvoo
  4. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nakosa cha kuongea na mpenzi

    Daaaaaa huyu jamaaa kanipa booonge la ushauri. Kawafunika wote kudadadeki. Big up afu nipm nikutumie hata ela ya choda
  5. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, huyu mwanamke ameniroga?

    Jamaaa ongo. Ulimpatia humu humu afu unaomba ushauri humu humu na demu nae anakupa ushauri humu humu. Au coo
  6. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nakosa cha kuongea na mpenzi

    Habari zenu wana jamvi. Mimi ni kijana wa miaka 25 nina mpenzi natarajia kumwoa mwakani. Sasa Iko hivi huwa nikikutana na huyu mpenzi wangu huwa nakosa cha kuzungumza nae tunaweza tukae hata dk 5 bila kusemeshana. Na ukizingatia mimi kwenye mapenzi nimeanza kujihusisha hivi karibuni baaada ya...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Bajeti ya Serikali mwaka wa fedha 2016/2017 itatisha sana

    Mbona unazuuunguka si uende tu moja kwa moja kwenye dhamira yako
  8. B

    JamiiForums Tanzania Kashfa ya makontena yamuibua Ridhiwan Kikwete!

    Kwa inavyoonekana wewe ni mtumwa wa fikra,na ni mtu mwoga kupindukia kwani raisi mstaafu ndo kitu gani? Na si ni binadamu km wewe? Inapooneka alikosea watu wakae kimya tu?
  9. B

    JamiiForums Tanzania Kashfa ya makontena yamuibua Ridhiwan Kikwete!

    Kwa inavyoonekana wewe ni mtumwa wa fikra,na ni mtu mwoga kupindukia kwani raisi mstaafu ndo kitu gani? Na si ni binadamu km wewe? Inapooneka alikusea
  10. B

    JamiiForums Tanzania Manji: Nchi yangu hainithamini

    Hivi ni kwanini tunawakumbatia hawa wahindi? Tuwafukuze tyuuu waende kwao
  11. B

    JamiiForums Tanzania Manji: Nchi yangu hainithamini

    Nimehisi kutapika baaada ya kusoma hii comment . Are you Tanzanian or Indian?
  12. B

    JamiiForums Tanzania Ajira za uhasibu

    Mkuu nimekuelewa na umenitia moyo saaaana maaana nilikua nimeshaanza kukata tamaa kutokana na comments za wadau. Maaana wamenishambulia hadi nikaanza kulia mwenyewe
  13. B

    JamiiForums Tanzania Ajira za uhasibu

    Tafadhari naomba ufafanuzi CPA ndo nini ili niende kukomaa nao inaweza ikanitoa
  14. B

    JamiiForums Tanzania Ajira za uhasibu

    Mheshimiwa hebu nieleweshe kuhusu CPA maana sina idea kabisa na kitu hicho
  15. B

    JamiiForums Tanzania Ajira za uhasibu

    Niko very serious kuliko unavyo fikiria aseeee
Back
Top Bottom