Recent content by Barnaba Fumbo

  1. Barnaba Fumbo

    Nauza Google Pixel 6. Kuna Free Delivery

    Storage 128GB Used Dubai Clean Condition Tsh. 460,000/= Free delivery dar es salaam, mikoani na wilaya zote za Tanzania tunatuma mizigo bila changamoto Whatsapp_0623771079 Normal call_0778863227
  2. Barnaba Fumbo

    Orodha ya wanasiasa ambao bila kuwapuuza Tanzania tusingekuwa hapa leo

    Nashangaa, kuna watu wanafurahia kuwa na ndege ilihali ni liabilities kwa serikali yetu
  3. Barnaba Fumbo

    Ni jambo gani umefanikiwa kuliacha baada ya kupambana sana?

    Hii kitu naomba Mungu ipite kushoto
  4. Barnaba Fumbo

    Naombeni ushauri wenu

    Ada ndio tatizo kaka. Ada 4M+ na kama unavyojua siku hizi % za mikopo ni ndogo sana
  5. Barnaba Fumbo

    Naombeni ushauri wenu

    Shida afya wanachukua ufaulu mkubwa sana div one ya 3-5 na yeye hakupata huo ufaulu ni div one ya kawaida tu
  6. Barnaba Fumbo

    Naombeni ushauri wenu

    Kuna mdogo wangu alisoma PCB form six akafaulu kwa div one. Aliomba chuo mwaka jana course za afya lakini hakufanikiwa akadai ataenda chuo mwaka huu 2024/2025. Mwaka huu anasema anataka akasome course moja wapo kati ya hizi. 1. Bachelor of Computer science 2. Bachelor of Chemistry 3...
  7. Barnaba Fumbo

    Deni la Marekani ni $34 trillioni

    😂😂😂😂
  8. Barnaba Fumbo

    Hakikisha umesoma hivi vitabu 5 kabla hujaanza biashara yoyote

    Kila mtu na imani yake na malengo yake. Kama Imani yako ipo katika kuroga keep it up, wengine tunaamini katika kujifunza zaidi na zaidi katika maisha yetu. Sio sote tupo katika njia ya uchawi na kuroga
  9. Barnaba Fumbo

    Kwa laki tatu naweza kufanya biashara gani?

    Unamshauri aina gani ya biashara ambayo mtu mwenye mtaji ya 800K anaweza kuifanya?
Back
Top Bottom