Nimepata mambo mapya hapa...nadhan tukijadiliana kwa namna hii tutafika mbali sana....Lakini mbona naona...mizigo mingi sana ya kwenda congo DRC kutoka bandarini inapita mpaka wa rusumo.....ambao uko Rwanda....kati ya border ambayo imepooza sana ni border ya Kabanga iliyopo wilayani...
Magufuli ni kiongozi bora toka tanzania iwepo...ukimtoa baba wa taifa......watu walizoea kuchuma tu...keki ya taifa peke yao.
Lakini hapa tulipifikia big up magufuli ndani ya miezi miwili tu tayari heshima ya serikali imerudi....hatutaki tena....uongozi wa kipuuzi kama uliopita wa kulindana...
Hongereni vijana kwa kuchaguliwa chuo..niliwahi kusoma chuo hiko...muda kidogo umepita...but it is the best university offering land related subject in Tanzania......am proud
Magufuli hawezi kuleta mabadiliko ndani ya ccm....he is best kama angekuwa nje...akiingia hapo atafanya kazi ya kulinda maslahi ya waliomtangulia.....no such a thing.....amkeni nyie
sidhani kama bado kuna watanzania wanaoamini kwamba ccm ikiendelea kuwepo watapata...mabadiliko......kiukweli...tubadilishe mfumo ili na wengine nao waonyeshe uwezo wao....hii nchii sio ya chama kimoja...ni nchi ya vyama vingi. kama walikubali mfumo wa vyama vingi uwepo basi hata mabadiliko...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.