Moringe Sokoine1
Member
- Sep 5, 2015
- 80
- 73
Chama Cha Mapinduzi Kinahubiri na Kutekeleza mabadiliko kwa vitendo ili kuboresha hali ya maisha ya Watanzania. Kubwa serikali yake imeendelea kuilinda na kuidumisha misingi ya umoja, amani na utulivu tuliyoachiwa na waasisi ambayo ndiyo chachu ya maendeleo yetu. CCM kupitia serikali zake wamepanua wigo wa upatikanaji wa elimu kuanzia msingi hadi chuo kikuu kwa kuongeza miundombinu yake. Changamoto kubwa iliyopo ni kukabiliana na uboreshaji wa mazingira ya kitaaluma kuanzia msingi hadi chuo kikuu, kuboresha maslahi ya walimu na mazingira yao ya kazi ili wafundishe kwa ari zaidi.
CCM pia kupitia serikali zake imefanikiwa sana kuimarisha miundombinu ya barabara, viwanja vya ndege na usafiri wa majini ili kurahisisha shughuli za kibiashara ufuatiliaji wa huduma muhimu na watanzania. Wamejenga madaraja na kurahisisha usafiri kwa watanzania kama vile ujenzi wa daraja la mkapa, daraja la malagarasi, daraja la kigamboni, daraja la mbutu, daraja la kilombero n.k.
CCM vile vile imejitahidi kuwekeza kwenye nishati mbadala ili kuliwezesha taifa kupata umeme wa uhakika utakaoruhusu uwekezaji wa uchumi wa viwanda kama ambavyo tumeanza kujionea kule Mtwara kwa kukamilika kwa kiwanda kikubwa cha saruji afrika mashariki na kati na cha tatu kwa ukubwa kusini mwa jangwa la sahara kiwanda cha Dangote. Upatikanaji huu wa nishati ya uhakika na gharama nafuu utachochea wananchi wengi zaidi kujiajiri
Chama Cha Mapinduzi Kinahubiri na Kutekeleza mabadiliko kwa vitendo ili kuboresha hali ya maisha ya Watanzania. CCM kupitia serikali zake wamepanua wigo wa upatikanaji wa elimu kuanzia msingi hadi chuo kikuu kwa kuongeza miundombinu yake. Changamoto kubwa iliyopo ni kukabiliana na uboreshaji wa mazingira ya kitaaluma kuanzia msingi hadi chuo kikuu, kuboresha maslahi ya walimu na mazingira yao ya kazi ili wafundishe kwa ari zaidi.

CCM vile vile imejitahidi kuwekeza kwenye nishati mbadala ili kuliwezesha taifa kupata umeme wa uhakika utakaoruhusu uwekezaji wa uchumi wa viwanda kama ambavyo tumeanza kujionea kule Mtwara kwa kukamilika kwa kiwanda kikubwa cha saruji afrika mashariki na kati na cha tatu kwa ukubwa kusini mwa jangwa la sahara kiwanda cha Dangote. Upatikanaji huu wa nishati ya uhakika na gharama nafuu utachochea wananchi wengi zaidi kujiajiri na kupunguza gharama za maisha ya kila siku.
Pamoja na hayo leo ile hadithi ya dada na mama zetu kujifungulia porini na wakunga wa jadi imeanza kuwa historia na kwa baadhi ya maeneo imesahaulika. Huduma ya maji imeendelea kusogezwa karibu kiasi cha watanzania wengi kunufaika na maji safi na salama kwa umbali usiozidi mita 400.
Ni ukweli ulio dhahiri serikali ya Chama Cha Mapinduzi kimefanya mengi katika kuboresha hali yetu ya maisha kiasi kwamba tulivyo leo sivyo tulivyokuwa miaka ya 1960-1990 lakini bado zipo changamoto lukuki za kufanyiwa kazi ili maisha yetu hasa kipato kwa mtu mmoja mmoja,upatikanaji wa huduma bora za afya, umeme vijijini, maji, elimu, mawasiliano, makazi n.k hivyo tunakubali bado tuna safari ndefu ya kujiletea maendeleo zaidi.
Katika mambo yanayoendelea kuifanya CCM kuendelea kuwa chaguo la umma ni utamaduni wake wakujikosoa na kujipanga kuondokana na makosa au kujirekebisha. Tukumbuke hatutaki mabadiliko ya kisiasa bali ya kimaendeleo.
"Rais wa Tanzania anaweza kutoka chama chochote ila Rais bora wa Tanzania hawezi kutoka nje ya CCM." Mwl.Nyerere akasema pia "Kiongozi safi hawezi kutoka nje ya CCM".... Akaja kumaliza "Watanzania wanataka mabadiliko,wasipoyapata ndani ya CCM watayatafuta nje ya CCM, Kama kiongozi waliyemtaka akakataliwa alikuwa na sifa sawa na mwenzake"....LOWASSA hakuwa na sifa sawa na Dk. MAGUFULI. Ukiwaweka kwenye mizani Dk. MAGUFULI anamzidi LOWASSA kwa vigezo vya uadilifu,uchapakazi,ufuatiliaji,misimamo na utendaji. Tusifanye makosa mawazo ya Mwl.Nyerere bado yanaishi.
TUKAAMUE PASIPO MIHEMKO OKTOBA 25, 2015.