Recent content by Bariki Konga

  1. B

    Viazi vitamu Mbulu vinapatikana sehemu gani?

    Mbulu. Kahama au geita kwasasa viazi vinaharibika coz vimekaa sana ardhini
  2. B

    Viazi vitamu Mbulu vinapatikana sehemu gani?

    Ni lazima mbulu kwa sasa kutokana na sehem nilipo kuna ukaribu. Nashukuru kwa kunifahamisha kuhusu songea jambo ni mbali sana na huku kaskazini
  3. B

    Viazi vitamu Mbulu vinapatikana sehemu gani?

    Habari za hapa? Nimesikia mbulu kuna viazi vitamu, naomba msaada mwenye connection jinsi vinaweza kupatikana, au kama kuna dalali uniunganishe.
  4. B

    Natafuta soko la Limao nipo Morogoro

    Nilichogundua hapa kwenye huu Uzi wengi hamjui kuhusu malimao . Malimao kibiashara yako hivi Kuna msimu Malimao ni mengi sana kama kuanzia mwezi wa Pili mpaka wa Tisa hivi Na kuanzia mwezi wa kumi Malimao hayapatikani sana mpaka mwezi wa kwanza. Kwasababu kipindi hicho(10-1) mwezi Malimao huwa...
  5. B

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Naona wale echo wanapiga debe firmino aanzie benchi na badala yake aanze sturidge
  6. B

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Sadio mane akubali kusaini mkataba utakaomweka Liverpool mpaka 2023. King Ngwaba Naamin utakuwa umefurahi
  7. B

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Tuombe tu tushinde asee
Back
Top Bottom