well said kibongo bongo hakuna security kihiivyo watoto wanazagaa sana mtaani mtu aamue tuu privacy na watoto wake lkn sio kuogopa atapigwa tukio sababu ya picha
mb
sijakataa kuna taasisi km hizo kwa ajili ya haki na usalama kwa wototo... lkn bado nipo pale pale kupost picha ya mtoto na imani za kishirikina ni mtazamo wa mtu labda ishu ya kusalama lkn hata kwa mtu mzima km mtu anataka akufanyie ubaya akipewa picha yako is the same thing kwa mtoto so...
haimake sense bwana imani zenu tuu mtu anawezaje kupost picha akatoa maelezo yote hayo?/ mahali anapoishi, shule na details nyingine? watu wanapost watoto kwenye event mbalimbali miaka nenda rudi... dunia ya sasa ni utawazi mtu anapost tokea mtoto anazaliwa hadi anahitimu chuo na hakuna baya...
advantage ni kwamba tunaishi tz tuna uhuru wa kuwafanya watoto wetu tutakacho... piga huyo hadi aseme... tafuta askari 1 ampige bila huruma... ila sio kichwani mbona atasema tuu... hamjaweka jitihada tuu tafuta mtu amfatilie mtajua anakoshinda... hizo dawa mlishiundwa hata ku google mjue...
sawa mkuu ila kuna zingine huwa zinapita kimya kimya au unaskia zilishapita so kuuliza muhimu hata hivyo hata km huna uhakika ni vuzuri kujua ipo au haipo instead of kusbr tuu!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.