Msaada: Nimeandika barua ya kuacha kazi naambiwa natakiwa nimlipe mwajiri

soskeneth

soskeneth

JF-Expert Member
Jul 2, 2016
586
250
Kwanza nimsifu aliye kujibu ,,amekujib majibu mazur Sana,

Sheria ya ajira na mahusiano kazini inasema HV mfanykaz kam ataach kaz ndan ya masaa 24 anawajibika kuaacha mshahar ah kumlipa mshahar mwajiri wake..

Sababu kubwa ikiwa kuwa ww ndo uliyeacha kaz na hujampa taarif ya siku 28 kuwa unatak kuacha kaz

na kuhusu ukiingia mkataba wa mud maalum then ule muda wa kuisha mkataba ukafika na ukaendelea kufanya kaz bas kanuni ya 5 ya T.S NO.42 inasema kwamba mkataba huo ume jirudia automatic Kwa terms zilezile na conditions zilezile

Kuhusu haki Kwa sheria zetu za nchi kuwa huna haki yoyote isipo kuwa kweny MFUKO WAKO WA HIFADH YA JAMII,BC lbda mwajiri awe tu na huruma bc

N:B saiz hifadh ya jamii mfano NSSF hawan fao LA kuacha kaz

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dr. Wansegamila

Dr. Wansegamila

Verified Member
Feb 3, 2012
1,995
2,000
ukiamua kuacha kazi kwa notice ya 24hours wewe ndio unamlipa mwajiri.
lakini ukitoa notice ya 1 month ni jukumu la mwajiri kukulipa mshahara wako wa mwisho na stahiki nyingine kama unastahili

Sent using Jamii Forums mobile app
Umeona mkataba wake unasema hivyo?
Maana hivi vifungu hutofautiana kulingana na mkataba husika, sio vifungu ambavyo ni general kwa kila mkataba.
 
M

mjasiriamalidzamani

JF-Expert Member
Nov 11, 2013
380
500
Hii ya kumlipa mwajiri inafurahisha.
 
K

kabombe

JF-Expert Member
Feb 11, 2011
23,667
2,000
Habarini wakuu,

Nimeandika barua ya kuacha kazi, naambiwa sheria inasema natakiwa nimlipe mwajiri mshahara wa mwezi mmoja kwavile sikumpa notice.

Nikajitetea kuwa mkataba wangu ulishaisha toka 2018 na sijasaini mwingine, naambiwa sheria inasema kama mkataba wa kwanza umeisha na hamjaingia mkataba mwingine basi ule ulioisha unajirenew automatically.

Pia mbali na likizo zako, je ni benefits gani nyingine naweza kupata? Nimefanya kazi miaka 3.

Msaada kwa wanaojua hizi sheria please

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa sababu uneacha kazi mwenyewe,mlipe mshahara mmoja,update michango yako NSSF chukua certificate of service sepa
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom