Recent content by Barbie Dahl

  1. Barbie Dahl

    Laptop haiwaki (Black screen)

    Hiyo cursor hata haionekani Nimejaribu kufanya hivyo ulivyoelekeza lakini bado vilevile
  2. Barbie Dahl

    Laptop haiwaki (Black screen)

    hiyo mpaka kufungua?
  3. Barbie Dahl

    Laptop haiwaki (Black screen)

    Ni Dell 15z - 5523, nimeupdate windows 10 mwezi uliopita na haikuwa na tatizo lolote. Ila juzi nimeiwasha kama kawaida lakini nashangaa inaanza kama inataka kuwaka halafu inatoa milio (tones) mitatu halafu inazima. Screen inakuwa tu nyeusi. Msaada tafadhali.
  4. Barbie Dahl

    Mahojiano ya Zitto na Tido Mhando katika kipindi cha Funguka - Azam TV

    Yuda hana jipya, yeye ni msaliti kama hao Le professeri na Dr Mihogo
  5. Barbie Dahl

    Kipigo kwa Waandishi: Jeshi la Polisi latinga Makao Makuu ya CHADEMA...

    Wewe kweli huna habari Kubenea kawapelekea NEC CD inayoonyesha kila kitu, Masaburi mwenyewe ameshindwa kukataa
  6. Barbie Dahl

    Kipigo kwa Waandishi: Jeshi la Polisi latinga Makao Makuu ya CHADEMA...

    Imekula kwao, deal ya Masaburi imebuma wanatafuta jinsi ya kufunika aibu
  7. Barbie Dahl

    Kinana: Tanzania cannot be allowed to be the new front for terrorists

    Article imeandikwa na Kinana halafu mtu anaanzisha thread eti wamarekani wamesema. Wewe muanzisha thread inaonekana ngeli haipandi. Kinana kakutana na majibu mazuri sana kwenye hiyo post yake kwenye thehill.com. Kinana mwenyewe muuza pembe za ndovu.Thank you Rashid, Flora, Kilim, Haika...
  8. Barbie Dahl

    Lowassa atikisa Buguruni katika ofisi za CUF

    mwenyewe naitafuta nimeipenda rangi yake
  9. Barbie Dahl

    Lowassa atikisa Buguruni katika ofisi za CUF

    Sisiem imekufa kifo cha mendeeeeeeeee Magufuli kesho utashawishika kukubali matokeo mwenywe && Lowassa ndio habari ya mjini...
  10. Barbie Dahl

    Lowassa kuchukua fomu kugombea Urais kupitia CHADEMA - Alhamisi 30, 2015

    Sasa aliwezaje kuzunguka wakati anatafuta wadhamini?,
  11. Barbie Dahl

    Utendaji wa Magufuli na mfano wa msichana wa kazi

    Nina wasiwasi na elimu yako
  12. Barbie Dahl

    Ndoa ya wake wengi

    Kwani mpaka mbugani, si kuna wanyama wa kufugwa kama paka, mbwa, kuku, punda. Tambua hamna tofauti kati ya wanyama wa kufugwa na wale wa porini
  13. Barbie Dahl

    Ndoa ya wake wengi

    Na wakike anakuwa na wakiume wangapi?
Back
Top Bottom