Korea ya kaskazini imekuwa ikichukuliwa kama taifa korofi, kandamizi kwa raia wake na lisilotii sheria za kimataifa hususani zile zinazohusisha umiliki silaha na urutubishaji wa nyukilia, ambacho ndio kiini cha mgogoro unaofukuta baini yake na Marekani. Swali la msingi ni Kwa nini taifa dogo...
Hii dhana ndo imetufikisha hapa na inazidi kutupeleka pabaya. Mweye nchi? nchi ni mali ya wananchi wote. Kiongozi anapewa dhamana ya kuwaongoza hao wenye nchi na si kumirkishwa nchi.
Kuna tangazo moja la matairi ya gari ambalo kilikuwa maarufu kipindi flani lilikuwa linasema"power without control is nothing". Nafikiri tafsri ya neno insanity ni ukichaa kwa Kiswahili, lakini sijui ukari wa maneno haya ni sawa. Pamoja na aina na vyanzo mbalimbali za ukichaa zilizokwisha...
Kinachokera zaidi ni kutoridhika kwa baadhi ya wafanyakazi wao. Omba kuunganishiwa umeme kwa mfano, wameainisha kabisa ni baada ya siku ngapi unapaswa kupata huduma lakini hiyo inaona si kwa mtanzaini wa"kawaida". Kwa mtanzania wa kawaida siku zitapita ukifuatilia utaambiwa hakuna vifaa...
Hivi sasa technical hewa wanaongezeka sana. CAG anafanyaje kazi? Wabunge wanapitisha vitu ambavyo havitendewi kazi na vinavyotendewa ni vile ambavyo hata havikujadiliwa. Sijui justification ya wao kuendelea kuwepo ni ipi?. Anyway, bunge linarejea hivi karibuni, watatetea uwepo wao.
Pamoja kuwa ni fursa nzuri kwa madaktari ambao hawana hawajapata ajira, mazingira yaliyopo nchini Kenya si muafaka. Nafikiri ni vyema wajiepushe kuwa kikwazo cha maongezi kati ya serikali ya Kenya na madaktari waliogom. Madai ya madakitari waliogoma Kenya ni ya msingi haswa ukizingatia kazi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.