TANESCO inagawa units 700 za umeme kwa wafanyakazi

Wwala sio tetesi, ni kweli wanapewa units 750 kila mwezi na wala sio jambo la kuficha.

Ni sehemu ya kazi wala haina kificho kama ilivyo kwa sumatra wanalipa wafanyakazi wao laki 3 ya mafuta kila mwezi au lesheni ya laki 3 kila mwezi ya askari.

Bodi ya mkopo wanatoa mafuta kwa kila mfanyqkazi wao,tpdc hivyo hivyo,mashirika ya hifadhi za jamii,tax exempt kwa wafanyakazi wa serikali kuu na serikali za mitaa.

Wala huna haja ya kuja kuuliza huo ujinga hapa kana kwamba ni kitu maalum sana kinachotolewa tanesco.

Ulitaka wasipewe umeme upewe wewe

Mbona povu linakutoka hao wengine hawapati hasara na bonus inakuja baada kufanya vizuri manake kupata faida. Hili game halitaki hasira.
 
Mbona povu linakutoka hao wengine hawapati hasara na bonus inakuja baada kufanya vizuri manake kupata faida. Hili game halitaki hasira.
Kinachokera zaidi ni kutoridhika kwa baadhi ya wafanyakazi wao. Omba kuunganishiwa umeme kwa mfano, wameainisha kabisa ni baada ya siku ngapi unapaswa kupata huduma lakini hiyo inaona si kwa mtanzaini wa"kawaida". Kwa mtanzania wa kawaida siku zitapita ukifuatilia utaambiwa hakuna vifaa. Utasubiri weeeeeeeeeeeeee, mpaka utakapo tia akiri kichwani.
 
Back
Top Bottom