Nawapeni pole sana wanaosema Edo ni fisadi
Kwan kama angekua fisad asingestahili kuchukua form wangwmwekea pingamiz na kama Kweli Edo ni fisadi Kweli magufuli hana uwezo wakushughulikia mafisad kwan angeanza na Edo ambaye wanamtaja tena amekua karibu sana naye yaan ni mgombea mwenzake kiti...
Ndugu zangu mtoa maada anahitaji msaada na sio matusi/ kejeli au lugha chafu
Mtoa maada napenda nijibu kama ifuatavyo
1: katika ulimwengu Wa roho huyo bado ni mpenzi wako hivyo bac kunaulazima kuvunja hayo manuuzi mlivyonuiana hio cku
2: damu ni sawa na uhai hivyo bac Yale maagano yenu...
Heri yao walioingia kwenye tundu la sindano Maana njia yao imeshakua nyeupe imebikia kazi kwa watawaminishaje wananchi wawape fursa ya kuingia kwenye roho ya Tz
NB chungeni sana wagombea Wa sector zote msimwange Damu Tz itakua ni nchi yenye machafuko term yote ya uongozi wako ewe diwan;Mbunge...
Huyu mtoa post la kwanza
Nimtu asiyejielewa hivi thaman ya binadam iko tofauti?
Sifa za binadam ziko tofauti?
Hadhi ya binadamu ziko tofauti?
Imekuaje hao wanadamu waajabuajabu? Yawezekana huyu c mwafrika Maana wazungu walituona cc waafrika ni watu waajabuajabu hivyo na yy cc waajabuajabu...
Nchi tusipo ichukua kiukweli tutapoteza mengi sana kwa miaka hii mitano kikubwa na cha msingi tuungane na tuhamasishe wengine juu ya umuhimu Wa kupiga kura awamu hii
Huo ni mtazamo wako mtanzania mwezangu ila cku chache zilizopita CCM ilisema yakwamba hata kama kwa goli la mkono watashinda
Je nyie mtatumia concept gani kushinda?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.