Recent content by barakachaplin

  1. barakachaplin

    Application zinazotumia Internet ila hazihitaji data

    WEWE UTATENGENEZA KAMA NI APLICATION YAKO NA UTA HOST KWENYE SERVER YAKO ILA UTAWAPA API KEY AMBAYO WEWE UTAWALIPA WAO ILI WAWAPE WATEJA HUDUMA HIYO BURE ,KAMA IZI APP ZA KUBET WAO WANAWALIPA MAKAMPUNI HUSIKA YAANI UNAKUWA KAMA VILE UNARUN XAMPP HTUMII DATAA NA INAFANYA KAZI .
  2. barakachaplin

    IT na watu wenye akili nyingi kujeni hapa

    NAMUUNGA MKONO CHIEF MKWAWA NA SIKUPINGI NAKUFUATILIA TOKA MIAKA POST ZAKO IYO CHA KUONGEZEA NI KWAMBA KAMA ANACOMPUTER ADOWNLOAD DR.PHONE ALAFU KIPENGELE CHA VIRTURAL LOCATION UNAWEZA SET ISOME SEHEMU MOJA TUU MILELE
  3. barakachaplin

    Uchaguzi 2020 Mitandao ya Airtel na Vodacom ukituma SMS “Tundu Lissu” au “John Magufuli” haiendi

    WAMEZUIA VODACOM KWENDA AIRTEL NA AIRTEL KWENDA VODA KWA ZANZIBAR MITANDAO YOOTE JARIBU UONEEEE TUMIA MESEJI KWA MTU WA AIRTEL KAMA UNATUMIA VODA AU VODA KWENDA AIRTEL
  4. barakachaplin

    Computer kutumia Bando kinyume na Matarajio

    weka on kwenye meter connection iyo ndo solution tuu hamna namna
  5. barakachaplin

    Jiwe Florence kupita karibu na sayari Dunia. #Sayansi

    Mawe kadha wa kadha yameshawahi kupita karibu na uso wa dunia lakini jiwe Florence ni kubwa kuliko yote yaliyowahi kupita karibu na sayari yetu. Kitendo cha jiwe hili kupita karibu na dunia kinatokea karibu karne moja iliyopita na linatarajiwa kupita umbali wa takribani milioni 7. Jiwe la...
  6. barakachaplin

    Mabadiliko Baraza la Mawaziri: Prof. Palamagamba aula, Mwakyembe achukua nafasi ya Nape Nnauye

    Jana alifanya press conference ya mwisho na waandishi wa habari kumbe alikuwa anawaaga Karibu kitaa kwa mapambano zaidi Nape
  7. barakachaplin

    muwe makini jamani

    Muwe makini:Kwenye chuo kimoja cha kitabibu prof aliwaingiza wanafunzi kwenye chumba chenye maiti akawaambia sifa ya udaktari ni kutokuwa na kinyaa, pili ni kuwa makini. Akaingiza kidole kwenye njia ya haja kubwa kwa maiti mmoja kisha akalamba halafu akawaambia wote wafanye hivyo, na wote...
  8. barakachaplin

    Mwenye kuzijua simu za infinity!

    Kuhusu virud kwenye uizo simu sahau apafu hazina uzito
  9. barakachaplin

    Utafiti kwa wanaume wa Afrika

    1. Wanaume wakatili zaidi Afrika - Waangola, Warundi na Wanubi (Sudan). Ukiwakosea ni kipigo au kifo. Kwao hakuna msamiati uitwao"MSAMAHA". 2. Wanaume wanaojali zaidi familia zao Afrika - WASENEGAL. 3. Wanaume wanaopigwa zaidi na wake zao - WAKENYA.(Kati ya wanaume 10 nchini Kenya 7 wanapokea...
  10. barakachaplin

    Ufaransa iyo

    Mwanamke mmoja ivi wa kihindi aliolewa na jamaa mmoja wa Kifaransa,yule jamaa akampeleka kwao Ufaransa wakawa wanaishi huko Ufaransayule mwanamke alkuwa hajui kifaransa akawa kila akienda dukani (mall) kununua paja la kuku alkuwa anapandisha sketi yake anamwonesha mhudumu PAJA lake na mhudumu...
  11. barakachaplin

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    wa mwisho na mtomba
  12. barakachaplin

    Wabongo sina hamu nao

    Watu kweli wamezoea vya kunyonga!!!!.... WABONGO SINA HAMU NAO...!! Jamaa alinunua friji jipya, akawaza namna ya kuondokana na lile la zamani, basi akaliweka nje ya nyumba yake na kuandika kibao:- "ANAYE TAKA KUCHUKUA, ACHUKUE BURE". Watu wakawa wanapita wanafungua lakini kila mtu akawa anaogopa...
  13. barakachaplin

    Njoo ucheke

    Jamaa alikosea kutuma pesa akatuma mil2 kwa no tofauti. Akafikilia cha kufanya akaja na hii: ''Hello natumai u mzima. Naamini umepokea pesa niliyokutumia. Ni kwa ajili ya mwanzo wako wa kuingia katika Amri za mtukufu shetani kwa utambulisho utakofanyika kesho saa 6 usku. Hiyo pesa n kwa ajili ya...
Back
Top Bottom