Recent content by Baraka Mkuu

  1. B

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli amteua bwana Tixon Nzunda kuwa Katibu Mkuu TAMISEMI atakayeshughulikia Elimu

    Rais Magufuli amteua Tixon Nzunda kuwa Naibu Katibu Mkuu TAMISEMI (Elimu) na aliyekuwa ktk nafasi hiyo Bw. Bernard Makali ateuliwa Katibu Tawala wa Rukwa
  2. B

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli aunda kamati ya pili kuchunguza madini yaliyopo kwenye mchanga, kuapishwa kesho

    Ukizichoka habari za Rais, hama nchi. Maana hamna namna.
  3. B

    JamiiForums Tanzania Kitila Mkumbo amshukuru Magufuli kwa kumteua

    Uteuzi wa Prof. Kitila Mkumbo umenipa faraja sana. Kwa mara nyingine naiona Tanzania ninayoipenda, nawaona Watanzania wamoja naiona Serikali ya kipekee inayowajali Watanzania wote na iliyoweka pembeni ubaguzi. Huu ni mfano mwema sana na naiombea sana nchi yangu na Rais wangu. Nimepekua video za...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Ethiopia wamejenga reli ya treni ya umeme mpaka bandari ya Djibouti,hawatatumia bandari ya DSM!

    Mleta uzi jiulize kwanza swali Cargo Hub ya Uwanja wa ndege inafanyaje kazi? Halafu msikilize vizuri Waziri Mkuu wa Ethiopia. Ndipo utaelewa the logic behind. Ni hatari sana kila wakati kuwa umekaa unasubiri kupinga tu kila kitu.
  5. B

    JamiiForums Tanzania Gerson Msigwa na makosa ya kiuandishi katika taarifa zitokazo Ikulu

    Uchangiaji wa wengi wetu humu sio constructive bali ni chuki. Na hili ndio linalopunguza credibility yetu. Tujitahidi jamani ili mtu akiingia humu aone faida badala ya kuwa kijiwe cha kuchafua watu.
  6. B

    JamiiForums Tanzania Magufuli aongoza kikao cha kamati ya usalama na maadili ya CCM

    Machi 10, 2017 Dodoma Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 10 Machi, 2017 ameongoza Kikao cha Usalama na Maadili cha chama kilichofanyika Chamwino Mkoani Dodoma. Kikao hicho kimehudhuriwa na wajumbe wake...
  7. B

    JamiiForums Tanzania UTEUZI: Rais Magufuli amteua Anne Kilango Malecela kuwa mbunge

    Ndugu zangu tumuache Rais apange safu yake. Kama unajiona wewe ndio unajua kuliko yeye si ungegombea urais watanzania wakupime kama unatosha? Hizi zingine ni laana tunajitafutia yaani mtu unajisikia raha kumchafua Rais kwa kila anachofanya. This is unfair. Tanzania no nchi yetu. Tujifunze...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Naibu Waziri, Dkt. Abdallah Possi, ateuliwa kuwa Balozi

    Mamlaka ya Rais kuteua, kutengua, kubadili na kuhamisha ni mamlaka halali tumuache apange watu wake anavyotaka. Hizi judgement zetu zingine hazina maana sana. Muhimu tuwe tunaangalia manufaa ya anachokifanya. Ubarikiwe sana Mheshimiwa Magufuli na Hongera sana Dr Possi naisubiri kwa hamu kubwa...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Naibu Waziri, Dkt. Abdallah Possi, ateuliwa kuwa Balozi

    Hongera sana Dr Abdallah Possi. Asante Mheshimiwa Rais kwa kuteua Balozi wa kwanza mwenye Ulemavu. Hii ni historia. Navyomjua Dr Possi tutegemee uwakilishi uliotukuka
  10. B

    JamiiForums Tanzania Nani aliyepanda ndege from Mwanza to Dar kwa 800,000?

    Hiyo ni one way Songea. Ukipiga hesabu utajua madafu ni ngapi. Je ikiwa mara mbili? Kama Songea hivyo Mwanza inashindwaje kufika laki nane? Na mkumbuke sometimes mtu anakosa hizo fastjet na precision na analazimika kupata hizo ndege ndogo ambazo ni expensive. Wakati mwingine sio kupinga tu kila...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli akutana na Mkurugenzi wa Masoko wa kampuni ya utengenezaji ndege ya Boeing

    Ndugu zangu Wengi wanasema kununua ndege sio kipaumbele. Hapa suala sio kununua ndege ili kuwabeba watanzania tu. Suala kubwa hapa ni kuinua fursa za mapato zitakazohamasishwa na ujio wa ndege. Mojawapo kubwa ni Utalii. Na utalii uliweza kutuzalishia asilimia 50 ya Pato letu la taifa hayo...
Back
Top Bottom