iparamasa
JF-Expert Member
- Nov 14, 2013
- 13,437
- 14,927
Juzi tu Ethiopia wamezindua usafiri wa treni ya umeme kutoka Ethiopia mpaka bandari ya Djibouti,bandari hii iko baharini jirani na ethiopia kuliko ya Dsm.
Tumesikia JPM akisema eti Ethiopia watakuwa wanatumia bandari ya DSM kuleta mizigo kisha wanaisafirisha mpaka Ethiopia
Kwanza umbali ni mkubwa,mzigo ufike Tanzania kisha urudi nyuma kwenda kenya,somalia,kisha Ethiopia.
Pili,hawa jamaa wamezindua reli mpya ya kisasa ya umeme hata mwaka haijamaliza,mabehewa ya abiria ni mazuri kuliko bombadier (kwa ndani)
Hivi nani alishauri hili liwe sehemu ya mazungumzo?
Nadhani waziri Mkuu wa Ethiopia kaondoka na question mark kuhusu tanzania