Rais Magufuli amteua bwana Tixon Nzunda kuwa Katibu Mkuu TAMISEMI atakayeshughulikia Elimu

Baraka Mkuu

Member
Sep 22, 2016
21
73
Rais Magufuli amteua Tixon Nzunda kuwa Naibu Katibu Mkuu TAMISEMI (Elimu) na aliyekuwa ktk nafasi hiyo Bw. Bernard Makali ateuliwa Katibu Tawala wa Rukwa
FB_IMG_1495599501298.jpg
 
Kocha ame-exchange timu yake
Kipa kampeleka nafasi ya winga wa kushoto na winga wa kushoto kamrudisha kuwa kipa.
Hii ndo raha ukiwa mukulu hupangiwi yaaani ukishauri tu ndo umepoteza
 
Back
Top Bottom