Naibu Waziri, Dkt. Abdallah Possi, ateuliwa kuwa Balozi

Qualcomm

Senior Member
Nov 27, 2013
177
138
Naibu Waziri Abdallah Possi ateuliwa kuwa Balozi.

1484848077154-jpg.461748
 
Magufuli ameona ule uteuzi wa wabunge 6 wanaume hamna namna nyingine ya kujiepusha na aibu ya kusigina katiba kaamua kumtoa mbunge mmoja aliyemteua na kumpa ubalozi.
Kama hayo ndo mawazo yako basi wewe na wenye mawazo kama yako msipende kurukia mambo kana kwamba ni wasaidizi wa Rais, du!
 
Back
Top Bottom