Jina langu naitwa Baraka clemence kwa sasa Niko mpanda nilikuwa naomba msaada hata wa mawazo kifupi mwaka 2014 nilimaliza form six nikajiunga na chuo kikuu udsm Bsc.in mechanical engineering mwaka 2015 akati Niko mwaka wa pili nilishindwa kuendelea na chuo/discontinued hii nikutokana na mda...
Dah aisee me nimepita, 823 kj msange pale tulikuwa mujibu na ilikuwa operation miaka 50 ya uhuru nilikuwa B coy na afande nae mkumbuka ni ng'ombe ilikuwa 2014
Natafuta wimbo uliokuwa unapigwa(instrumental yake) na diva mtangazaji wa clauds fm kwenye kipindi cha malovee kile cha usiku sjui unaitwaje na umeimbwa na Nani Msaada tafadhali
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.