Recent content by Barahambarayee

  1. B

    JamiiForums Tanzania Ni nini tafsiri ya Rais Magufuli kuandika barua kwa mkono ya kumpendekeza Waziri Mkuu

    Ulitaka aandike kwa mguu? Kabla ya kupelekwa kuchapwa huwa inaandikwa kwa kutumia nini?..... #Tunabana bajeti mpaka wino wa Typing mashine hautumiki bila sababu ya msingi.
  2. B

    JamiiForums Tanzania Ndugu aua mdogo wake baada ya kumkuta akijamiana na nguruwe

    R.I.P dogo.....nguruwe hajafa bana wamemficha uso kuepuka kumdhalilisha zaidi kwa watu. Teh teh teh,nimewaza tu.
  3. B

    JamiiForums Tanzania Kubadili majina inakuwa na maana gani?

    Duh....aisee
  4. B

    JamiiForums Tanzania Dar to Mtwara, mdogo wangu kafariki kwa basi gani?

    Pole mkuu.... Mwenyezi Mungu Aipumzishe Roho Yake Mahali Pema Peponi.Ameen
  5. B

    JamiiForums Tanzania Leo umeme wametuachia, vipi ulipo upo?

    Mie pia nilipo ni wiki na zaidi sasa haujakatika....Ni faraja kwa kweli
  6. B

    JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara wadogo msidanganywe na CCM wamekuwa waongo kwa miaka 54

    Umeniwahi kuuliza swali hili....2015-1977=54?, Huwa niko mbali na malumbano ya siasa ila kwa hili BIG NO!
  7. B

    JamiiForums Tanzania Wanawake msituulize maswali haya

    Dah!! Huu mkwara wa mpira nshapigwa sana ila naenda tu, mpaka naye kaanza kuijua ligi ya Epl teh teh teh
  8. B

    JamiiForums Tanzania Aina kuu 8 za vitambi, je wewe unacho kipi?

    mmmh...Ngoja waje wenye vitambi vyao watoe ushuhuda wa upatikanaji wake.
  9. B

    JamiiForums Tanzania Mwanzo wa meditation

    Kama umeshajitoa kwenye mafunzo hukustahili kuyasema hayo, ni wapi alishawahi kutoza ada? Halafu unadai "SISI BASI", Wewe na nani? Kitu kama huna interest nacho kiache kilivyo usilazimishe utawehuka. Nenda siasani, hizi mambo popoma kama wewe huwezi archieve hata nukta. Kumradhi Wadau kwa...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Ni neno gani uliwahi kuambiwa na mpenzi wako likakutouch moyoni na huwezi kulisahau?

    Ha ha ha ha ha...sipati picha ilivyonywea, dah!!
Back
Top Bottom