Mama miwani njoo kipande hii tafadhali utoe ufafanuzi wa mashtaka haya....Mkuu wiseboy, ni njia ipi unadhani huenda ikawa suluhisho la tabia yake? Umewahi/mmewahi kujaribu?
Ni kweli Dinazarde,mi sipendi kupiga mtoto au hata kumsikia analia awe wangu au hata nikiwa napita pahala....
Watu tunashindwa kuelewa kuwa wakati huu si kama zamani,watoto wa mtaani wamekuwa wengi na asilimia kubwa wanakimbia manyanyaso majumbani kwao.
Ndugu si kweli...mi kuna dada yangu wa damu yupo segerea huu mwezi wa 3 kwa kumpiga mtoto mpaka kufa.
Ni dada yangu ila kwa alilofanya acha sheria ichukue mkondo wake na iwe funzo kwa wengine.Ndugu wamejichanga kulimaliza soo ila mi nnawatazama,iliniuma sana kwani alimnyanyasa yule mtoto sana...
Mkuu hapo uhame kwa usalama wa watoto wako..
Mi binafsi nimetembea mikoa 8 na kufanya shughuli zangu ila Dar sipendi hata kupasikia achilia mbali kuishi.
Niambie nikazurure mikoa yote ila dar hapana.
Jazia nyama hiyo habari yako mkuu...huenda kuna vingi unaweza kutugea.Ni mfanyabiashara ipi? kitongoji kipi? na hili tukio ukilinganisha na biashara zake unapata picha gani?...hebu funguka mkuu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.