Mama miwani, mchawi hatari anayetikisa Kahama

Mama miwani, mchawi hatari anayetikisa Kahama

Hii habari imenigusa sana kwani huyu mama kulingana na maelezo ya huyo mleta mada nimefaham ni mama yupi anayemuogelea. Kwa vile ni mara ya kwanza kusikia tuhuma hizi japo tukio la mlinzi kuuwawa lilinikuta nikiwa kijiji jirani na Ilogi. Lakini wana JF forum mimi sipo hapa kumsafisha mtuhumiwa huyu ila ninachotaka mkifahamu kuwa huyu mama ni mwanasiasa tena mwanasiasa mkomavu na ashawahi kushiriki kugombea udiwani wa kata ya Bugarama kama mwanamke pekee japo alipungukiwa kura lkn nikiamini kwenye siasa maadui huwa hawakosekani na hatuwezi fahamu kama mleta uzi ni mmoja wapo au la. Pili;huyu mama kimaisha na mme wake yuko safi na kuna kipindi wabaya wake walivumisha anafanya biashara ya madawa ya kulevya. Binafsi nishawahi kubadilishana maongezi kuhusu siasa kwa kweli ana busara,moyo wa kujitolea na kujituma. Yote aliyoyasema na hili la madawa ya kulevya nililolisema mimi ndugu zangu haya yote huwa ni siri ya mhusika. Nonachomuuliza mleta uzi ni kuwa;tukio la kuuwawa kwa mlinzi lilihisu wezi waliokuja kuiba duka lake,je ni vipi ahusike ktk mauaji hayo? wewe kama ni mwandishi kwa nini usifuatilie mauaji ya diwani wa kata ya Bugarama (Paul Kisiminza) aliyeuwawa kikatili kwa sababu ya kisiasa.
 
Baada ya kutoa thread ya police m.shenz ambapo niliitwa mbea na maneno mengi yakatolewa dhidi yangu,leo tena nimekuja na mpya,ni kawaida sana sisi waandishi kuitwa wambea,wakuda,wanafiki na n.k,hiyo ndo kazi yetu we don't care anyway,mama miwani (si jina lake halisi) ni mama hatari mkazi wa kijiji cha ilogi ktk wilaya ya kahama,neno ilogi ni la kisukuma likiwa na maana ya "mchawi"(nitaelezea siku nyingine kuhusu kijiji hiki) mama huyu ambaye nilipata kumfahamu tangu akiwa musoma,alifukuzwa hapa musoma kwa tuhuma za uchawi ndo akakimbilia ilogi ambako hata baada ya kufika huko tabia yake hakuiacha,ktk tukio moja la kifo cha utata cha mtoto wa miaka 8 ambaye alifariki ghafla na akawa anainuka na kuendelea kufa ambapo mimi ni shuhuda,mama huyu alihusishwa na tukio hilo kwa ushahidi dhahiri,ni mwanachama mwaminifu wa chama kinachojiona ndo mungu mtu wa Tz,kijiji kizima cha ilogi kina habari zake,na alihusishwa na mauaji ya mlinzi wake ambapo inasemekana amemficha msukule,ana jumba kubwa linalotisha hata mchana.

Haha inaonesha unapenda sana,eti sisi waandishi kuitwa wambea,wakuda.........huu siyo uandishi ndugu yangu unachanganya vitu
 
Uchawi/majini ni vitu visivyothibitika,ndio maana huwezi kushitaki!

Huyu jamaa dini yake itakuwa serikali aisee, vitabu vyote vya dini vinazungumzia uchawi na majini halafu wewe bado hauamini kama vitu ivyo vipo! ! We dhehebu lako ni serikali wewe
 
nasema hivi uchawi haupo!!

Inawezekana na wewe ni mmoja wao! Kama vitabu vitakatifu vinatambua kuwa uchawi ulikuwepo toka enzi za Farao, wewe unakataa basi unaweza kuna kuwa Mungu hayupo! Si shangai kwani wengi wanaokataa kama wewe ni washirika wakubwa wa imani hiyo ya kishirikina.

Kule Sumbawanga walimu walikuwa wanakimbia shule fulani, kwani kila wakilala ndani ya nyumba zao asubuhi wanajikuta wamelala nje hadharani! Hii utasema walikuwa wanaumwa cerebral malaria?
 
Mkuu wiseboy ..Ulikuwa Mfanya Biashara Na Mkulima Vp Umesomea Wapi Hii Taaluma Yako Ya Uaandishi Wa Habari?
 
Last edited by a moderator:
Heheh, we jamaa bana unakamtazamo fulani hivi ka kizamani kama 120 degree hivi. Tafuta hela wewe acha mbwembwe. Watu wanakula life huku eti we unaishia kuwaburudisha na vinyuzi vyako vya kijijini.
 
Inawezekana na wewe ni mmoja wao! Kama vitabu vitakatifu vinatambua kuwa uchawi ulikuwepo toka enzi za Farao, wewe unakataa basi unaweza kuna kuwa Mungu hayupo! Si shangai kwani wengi wanaokataa kama wewe ni washirika wakubwa wa imani hiyo ya kishirikina.

Kule Sumbawanga walimu walikuwa wanakimbia shule fulani, kwani kila wakilala ndani ya nyumba zao asubuhi wanajikuta wamelala nje hadharani! Hii utasema walikuwa wanaumwa cerebral malaria?

walevi tu hao,chunguza historia zao
 
waging shame on him for what? ulitaka habari hii iandikweje? huna hata point uliyochangia,au na wewe unatoka familia za wachawi? ametajwa mama miwani,jina bandia hajawa exposed public kiasi cha kumfanya adhurike,nyambaf zako.

He yanakuhusu? mbona jazba namna hiyo. Ninyi ndio mnarudisha maendeleo ya watu kwa imani zisizo na kicwa wala mguu. Na ndio mnachangia watu kutuhumiwa uchawi na kuuwawa kisa tu ana maendeleo fulani. Can you imagine hunijui umekwishanituhumu uchawi shame on you squared!
 
Mama miwani njoo kipande hii tafadhali utoe ufafanuzi wa mashtaka haya....Mkuu wiseboy, ni njia ipi unadhani huenda ikawa suluhisho la tabia yake? Umewahi/mmewahi kujaribu?

Ni panga tu, tena zile za shingo ndefu.
 
nami pia hapo nimeshindwa kupaelewa

Maiti yake ikiwa imelala kitandani ilikuwa ikiamka na kurudi kulala hali iliyowafanya waombolezaji kutimua mbio,waliporudi wakaikuta maiti imeendelea kufa[/QUOTE]

ha ha ha ha hata wewe mwenyewe tena ukawa huelewi...kama nakuona ulivyotimua mbio
 
Wewe huyu mama kada wa CCM mwenye gari nyeupe maarufu kama mchomoko ni mchawi!!!? hata acha nifuatilie kwa undani kwani tukio la mlinzi nalifahamu japo halijafahamika kama linahusiana na uchawi. NB; lakini ndugu hakikisha unachokisema kiwe na ukweli kwani ni dhambi kubwa kumtuhumu mtu pasipo kweli. Laiti kama ungesema kuhusu mzee Philipo Magendo alivyokuwa anaogopewa hasa ukitaka kuchuana nae ktk nafasi za kisiasa alivyokuwa anawazima wapinzani wake hapo ningekuelewa kidogo kwani hakuna asiyemfahamu,hata hivyo vijana wa CCM wamemvaa na kushindwa vibaya. Huyu mama namfahamu ni mtu mwenye hekima sana hata hivyo nakuachia wewe hiyo hukumu kama Pilato.

Philipo magendo ni cha mtoto kwa huyo mama,ni huyo huyo mwenye gari nyeupe na kada wa ccm,hakuna asiyemjua ilogi yote,anajifanya ana hekima hana lolote mwanga mkubwa yule,siku ya mauaji ya utata ya mlinzi alitoa pesa kisiri akampa mkuu wa kituo cha police huku mimi na vijana wangu tukila chabo,hatari sana yule mama alifukuzwa msm
 
Haha inaonesha unapenda sana,eti sisi waandishi kuitwa wambea,wakuda.........huu siyo uandishi ndugu yangu unachanganya vitu

Mkuu ningeandikaje ili nisichanganye vitu? Boke,binti mkazi wa ilogi,mrembo wa sura na umbo ila kahaba aliyezaa watoto 3 kila mmoja na baba yake alikuwa ni mmoja wa kundi la wachawi ktk genge la mama miwani,(nataka mfahamu kuwa wachawi si vikongwe tu hadi warembo wapo) mwezi mmoja uliopita,Boke akajikuta amechanganyikiwa ghafla ktk hadhara ya watu pale ilogi na akaanza kuropoka akitoa siri jinsi mama miwani alivyomchukua kichawi yule mlinzi na ikaonekana kama ameuawa,nilikuwepo eneo la tukio,maiti ya mlinzi haikuwa na damu pamoja na kuwa kichwa chake kilikuwa kina tundu kubwa,pili pamoja na mauaji ya mlinzi hakuna kilichoibiwa zaidi ya khanga pea 5,wezi gani wanaoua wakaiba khanga? Boke aliporejewa na akili akakimbilia mwanza mjini,na mama yake mzazi na Boke auzaye ktk soko la ilogi naye ni mchawi na kila mtu anajua,nenda ilogi ka spy utaamini.
 
Wee dogoo wiseboy iv 0713 yako haipo tampered kweli? Ulipokuwa unaandika uzi huu nå kuposti huukuwa unapumuliwa nå mazombie? Nyambaf tezidume ww!!
 
Dah kweli hapo Ilogi wachawi walikuwa wanatusumbua sana hapo ABG quarters. Sasa tumfanyeje huyu mama?
 
Baada ya kutoa thread ya police m.shenz ambapo niliitwa mbea na maneno mengi yakatolewa dhidi yangu,leo tena nimekuja na mpya,ni kawaida sana sisi waandishi kuitwa wambea,wakuda,wanafiki na n.k,hiyo ndo kazi yetu we don't care anyway,mama miwani (si jina lake halisi) ni mama hatari mkazi wa kijiji cha ilogi ktk wilaya ya kahama,neno ilogi ni la kisukuma likiwa na maana ya "mchawi"(nitaelezea siku nyingine kuhusu kijiji hiki) mama huyu ambaye nilipata kumfahamu tangu akiwa musoma,alifukuzwa hapa musoma kwa tuhuma za uchawi ndo akakimbilia ilogi ambako hata baada ya kufika huko tabia yake hakuiacha,ktk tukio moja la kifo cha utata cha mtoto wa miaka 8 ambaye alifariki ghafla na akawa anainuka na kuendelea kufa ambapo mimi ni shuhuda,mama huyu alihusishwa na tukio hilo kwa ushahidi dhahiri,ni mwanachama mwaminifu wa chama kinachojiona ndo mungu mtu wa Tz,kijiji kizima cha ilogi kina habari zake,na alihusishwa na mauaji ya mlinzi wake ambapo inasemekana amemficha msukule,ana jumba kubwa linalotisha hata mchana.

We mbona unapenda kujadili watu binafsi! we unajiita mwandishi wa habari! we kanjanja tu.
 
Sisi tuliozungukwa na damu ya YESU (kwa imani yangu pls) hakuna mchawi,pepo wala upuuzi wowote waweza kutugusa.

Aiseee.....!!
Lakini juzikati ulionekana Lack-Airo Hotel ukigigida beer kama kawa wiseboy
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom