hiv hizi dau huwa zinalipwa kweli?
nakumbuka ile ya afande Barlow ilitangazwa sasa sijui kama raia walilipwa
wameshaishi sana Geita, biharamulo, kagera na kigoma kama raia wa tz, vibarua wengi wa huko ni warundi, wanaijua tz kuliko hata burundi wala sio wageni. siku hizi wameshafika hadi Tabora. kwa dsmMkuu hao majambazi kutoka nchi za jirani lazima wawena watu kutoka tz mgeni hawazi kuja bila mwenyeji
Mkuu tunawalipa ila kabla ya cheki (cheque) haijatoka ni muhim kusaidia upelelezi kidogo huenda unafaham vingi......
Ahsante
Akija mtu akidai advance ya million 30 mtampa?????Mkuu unatuchanganya hesabu yako sio jumla itakuwa 25005000 tshs. Tunashukuru kwa mchango wako lakini ungeongeza kidogo.
Mkuu unatuchanganya hesabu yako sio jumla itakuwa 25005000 tshs. Tunashukuru kwa mchango wako lakini ungeongeza kidogo.
MAUAJI GEITA: IGP E. Mangu leo ametangaza bingo ya Sh10m kwa mtoa taarifa zitakazosaidia kukamatwa kwa watu waliovamia kituo cha polisi jana usiku mkoani Geita.
MAUAJI GEITA: IGP E. Mangu leo ametangaza bingo ya Sh10m kwa mtoa taarifa zitakazosaidia kukamatwa kwa watu waliovamia kituo cha polisi jana usiku mkoani Geita.
poa na mimi naongeza 5000 hapa itafika 2500500 tsh
maamaee mimi Pia siachwi nyuma nitaongeza mchango wangu wa debe moja la udaga. R.I.p MwangosiMkuu nina machungu sana na hao 'mbugila'waliotuulia makamanda wetu.Natangaza kuongezea dau la kamandaa mkuu,ntatoa buku jero babake!!!:frusty:
Twende mbele na kurudi nyuma, hv jamani huwa hamuwaoni askari jinsi wanavyokaa kizembe zembe huku wakinywa kahawa kwenye benchi na wakiwa hawana silaha na buti wamevua wamevaa kandambili?? Jamani huwa hamuwaoni? Mbona hili hamlisemi? Sasa unategemea nini? Tukio la kuuwawa askari ni uzembe wao, majambazi matano wao sita, tena wapo kituoni lakini hawakuwa na silaha wameridhika!! Wasipobadilika watauwawa sana, uhamiaji nao wamekuwa wala rushwa wakubwa, wahamiaji haramu hadi wanaingia nchini wanafanya kazi bila kugundulika, rejea makomandoo wa nepal, unategemea nini hapo?
kwa iyo Mwangosi alikuwa fisi? ??ndugu yangu usilo lijua nisawa na usiku wa giza pale nikituoni jamaa wamekuja saa tisa usiku na kama unavyo jua polisi wana hudumia raia kwa vyovyo te vile huwezi kuanza kumshukia raia huenda amekua kwa matatizo lazima umsikilize achillia mbali hilo watu wameenda wame rusha bom la mkono kabla ya kuingia kisha wakaanza mashambulizi polisi na ye nibina damu kama ww kwa usiku kama saa tisa kwa bina dam yeyote huwa amechoka kwahio nidhahili kuwa hata ufanyaje huo sio uzembe wa askili wala nn mkuu
kwa iyo Mwangosi alikuwa fisi? ??