Recent content by Baracka Black Beka

  1. Baracka Black Beka

    Haji manara azimia kabla ya mechi kumalizika

    STRESSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSS
  2. Baracka Black Beka

    Polisi wavamia hotel ya Blue Pearl na kumkamata Mkurugenzi wa (THRDC) Onesmo Olengurumwa

    ******Ndo hivyo, tuvumilie, tutafika tu***** Niko hapa maeneo ya Ubungo Plaza nikiwa nimejiandaa vema kuhudhuria tukio la uzinduzi wa kitabu cha ndugu uyetu Alphonce Lusako ghafla naona magari ya polisi matatu lingine likiwa limepaki kwa mbali. Hapa nilipo imenibidi nijifanye mpita njia maana...
  3. Baracka Black Beka

    Tunaosubiria application za NACTE, tukutane hapa

    Mwezi March for the 1st intake, and march for the 2nd intake round of application
  4. Baracka Black Beka

    NACTE wataanza lini tena kupokea maombi?

    Sasa kipi ni bora, kusubiri mpaka watoe, au watoe tamko kama kuna tatizo kuhusiana na application za mwaka huu masomo?
  5. Baracka Black Beka

    CHADEMA AKILI YA MWENDO KASI.....

    Hahaaaaaa, Yayaaaa
  6. Baracka Black Beka

    DAR: Askari Polisi wanne wauawa na raia 2 wajeruhiwa, silaha zaporwa!

    Tulipofikia, duh Kuna nch za wenzetu tena Mataifa.makubwa mf marekan watu wanafanya kaz kwa bidii, hakuna kijana yeyote wa chama tawala aliyewah kuingia barabaran kupongeza utendaji kaz wa mtu fulan, wananchi tunataka maendeleo co maandamano ya vijana chama tawala au UKUTA. Ndo hvo miaka...
  7. Baracka Black Beka

    TCU yaalika umma na wananchi kujadili jinsi udahili utakavyo kuwa

    Mbona siku zote hawajawahi kuwashirikisha, leo kuna nn! :(:(:(:(:(:(:(
  8. Baracka Black Beka

    Nimechoka kusubiri ajira za walimu

    Dah Siasa hizi ni sheedha!
  9. Baracka Black Beka

    Hakuna namna, ualimu ndio njia ya kutokea

    #POST nzuri kupindukia, na mtoa POST umechanganya lugha ndo maana baadh yetu tumeshindwa kuchangia, huenda ni elimu kubwa ulonayo!
  10. Baracka Black Beka

    Jenerali Ulimwengu: Tumerudi nyuma miaka 50 kwenye demokrasia, Kikwete apelekwe mahakamani

    Utamshtaki kwa katiba ipi, ikiwa Katiba haikupatikana?
Back
Top Bottom