Tunaosubiria application za NACTE, tukutane hapa

Kuliko kuukaa kuulizana kila siku nakukosa maji tujisogeze kwenye ofisi zao kwa uhakizaidi
 
Wakuu nina dv 3 ya 25.Math D, Eng/scienceD,Kiswahl D,Engls C ,Chemistry C biology C na Civisc D.nahitaji kusoma Diploma ya Clinical medicine ..mwenye msaada wa kupata vyuo vya serikal tafadhar aje PM. Natamani sana Lugalo..
 
Chuo hauwezi kabsa kusoma Afya kama haujawai kusoma physics olevel physics lazima uwe na alama angalau D kama sio hivyo fanya mambo mengine ya msingi...
Mnaambiwa someni sayansi ww unakimbia na Physics haya sasaaaa
 
Kwani mkuu somo la Engenering science halilandani na Physics.
 
Inaoneka uyo hajui engineering science ni kitu gan, kama ajasoma tech school awez elewa
Unakosea ukisema siwezi kuelewa. Japo sasa siielewi, ila ukinielewesha kwa kifupi tu nitaelewa.

Nimeelewa mangapi hadi sasa mpaka uniambie jambo hili siwezi kuelewa?
 
kwa wale wakuxubir
NACTE wanafungua mfumo tarehe 15 mwez huu
kaz kwenu wadau
 
Back
Top Bottom