Recent content by Baraba

  1. Baraba

    Msaada jinsi ya kubadili course SUA

    hapana ukifika chuo kila kitu utakikuta huko so kama course unayotaka kwenda itakuwa ina nafasi utahama bila wasiwasi. But cha msingi ni kuripoti kwanza chuo mengine yatafuata
  2. Baraba

    Je, aende tu akasome hiyo kozi au tumtafutie chuo Cha diploma kwa kozi za afya au engineering?

    Ungeweka matokeo yake ingekuwa rahis kumshauri kwakuwa hata diploma vyuo vya afya kuna competition pia bcoz kuna watu wana ufaulu wa juu sana wamekosa nafasi degree wanakimbilia diploma
  3. Baraba

    Nmechaguliwa SAUT MTWARA

    Ilikuwaje ukakiweka kwenye list yako wakati unajua kabisa autaki kwenda huko. Mara nyingine unatakiwa kuwa makini sana kwenye choice ya vyuo kwakuwa ukikosea tu unakukosti. Ushaur wangu angalia uwezekano wa sehem nyingine au wew nenda huko alafu badae ukifika chuo fanya transfer uhame chuo...
  4. Baraba

    Jinsi ya ku-cancel admission UDOM

    Kama aja confirm shida ya nn tena, yeye kama ataki kwenda aache hivyo hivyo atatemwa automatic
  5. Baraba

    Nimechaguliwa BAED OUT, je naweza kuhamia chuo kingine

    Tcu wanausikaje hapo wakati wao awachangui wap wew uende zaidi ya chuo ndo wanakuchangua wao. Alafu kwann uweke hicho chuo wakati wew autaki kwenda huko Tanzania kuna vyuo zaidi ya 30 Kwann usiweke vingine. But kuna nafasi za transfer huwa zinatoka unaweza kuama chuo kwenda unachotaka
  6. Baraba

    Hostel dar es salaam...

    Taja jina la chuo hili usaidiwe sasa sisi tutakushauri nn wakati unaficha jina la chuo
  7. Baraba

    Msaada juu ya Award Verification Number (AVN)

    Unakwama wap hili tujue wap kwa kuanzia
  8. Baraba

    Msaada,kozi zisizo

    Ilikuwaje akajaza kombi ambazo azitaki wakati anaufauli mzur wa masomo ya afya. Hapo asubirie tu huko udom akipata aende
  9. Baraba

    Nishaurini kwa matokeo haya naweza omba chuo kingine nikapata MD

    Competition ni kubwa tena ukizingatia waliomaliza six wanapewa sana kipaombele bcoz ufauli wao ni mkubwa nakushauri jaribu kuapply na vyuo vya private kupata inakuwa rahisi.
  10. Baraba

    Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imetoa awamu ya kwanza.

    ujafanikiwa kwenye awamu hii labda usubiri batch zinazofuata
  11. Baraba

    Kujiendeleza Elimu ya juu yaani Degree.

    Soma foundation course inayotolewa Open. Sent using Jamii Forums mobile app
  12. Baraba

    HESLB yatoa majina ya mikopo awamu ya tatu 2017/2018

    Msaada mm jina langu aliko kwenye list lakini kwenye account yangu inaonyesha nimepata boom tu nafanyaje hapo
  13. Baraba

    Mkopo wangu umetumwa chuo kingine na mimi nimejisajili chuo kingine

    Maana unakuta mtu kachanguliwa zaidi ya chuo kimoja na amethibitisha ataenda kimoja wapo lakini mwisho wa siku mkopo unaenda kule ambapo ukuthibitisha. Itabidi kuwe na njia za kuzuia mambo kama haya yasitokee
  14. Baraba

    Mkopo wangu umetumwa chuo kingine na mimi nimejisajili chuo kingine

    Itabid tufuatilie maana maisha ya chuo yalivyo magumu bila boom tutateseka weng
Back
Top Bottom