Nishaurini kwa matokeo haya naweza omba chuo kingine nikapata MD

Riz king

JF-Expert Member
Dec 30, 2018
275
547
wakuu kama kichwa knavojieleza nlipata GPA ya 4.0 ya clinical medicine lakini fist round niliapply vyuo viwili yaan muhas na udom lakin kote sikupata je wakuu itakuwaje maana nasubili second round kwa vyuo hvo bado sijaona sehemu ya kufanya nifanyeje wakuu
 
Competition ni kubwa tena ukizingatia waliomaliza six wanapewa sana kipaombele bcoz ufauli wao ni mkubwa nakushauri jaribu kuapply na vyuo vya private kupata inakuwa rahisi.
 
mkuu nmekwelewa ila kwa private kumbe naweza kupata?
 
Kwa wale walio re apply bugando tu naomba mrejesho maana za kwetu bado zinaonesha hali ile ile kama tulivyo apply first round
 
Back
Top Bottom