MAFUTA YA UBUYU
(BAOBAB SEED OIL)
Ni mafuta yatokanayo na mbegu ya ubuyu {au kokwa}. Hukamuliwa kiini chake na kutoa mafuta. Utafiti huu umefanywa na Kampuni ya Essential Oil ya Afrika kusini. Mafuta ya ubuyu yana ubora kuliko mafuta mengine ya kupikia, yana vitamin A, B, C, D na F. Pia...