Wana JF Mwanza

Wana JF Mwanza

hesalieyo

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2012
Posts
378
Reaction score
416
kama kuna mjasiriamali anauza mafuta ya ubuyu original (yasiyochakachuliwa), anayeishi Mwanza tuwasiliane please.
 
kama
kuna
mjasiliamali
anayeishi
mwanza,anauza
mafuta
ya,ubuyu
original(yasiyochakachuliwa)please
tuwasiliane.
 
Niko Dar ninasupply ya mafuta. Hayajachakachuliwa na ni mmoja wapo wa watumiaji. Naweza hata kutuma kasample ucheki. Kama vipi nicheki 0779000710
 
nko dodoma ncheki k2 og cm 0715936398
 
we uko wapi? ninayo kwa kuwa niko na Anamed International kwa karibu sana.
 
kama
kuna
mjasiriamali
anauza
mafuta,ya
ubuyu
original(yasiyochakachuliwa),
anayeishi
Mwanza
tuwasiliane
please.

ninayo kama na ninafanya biashara hiyo. naomba tuwasiliane kwa namba 0763607685. niko mwanza.
 
ninayo kama na ninafanya biashara hiyo. naomba tuwasiliane kwa namba 0763607685. niko mwanza.
 
Weka namba zako za simu, mi nina wakala mwanza mafuta yatakufikia chap chap, na hata ukiihitaji unga wake ambao ni laini usio na mchanga kwa juice unapatikana. piga namba hii. 0712700280
 
Back
Top Bottom