MWANZO WA MAISHA MENGINE
Baada ya kuja na dada yake pale kukawa na kikao mwenyewe akaniomba aniambie kila kitu,me nikamwambia aniambie tu ukweli
Akaniambia ni kweli alikuwa anadate na yule mzee na walianza nae kitambo alikuwa kama sugar dady wake na alikuwa anasafiri nae sana kwasbabu huyo...
KUANZA KUUJUA UKWELI
Naomba tuendelee sisi tulikuwa na group la tuliomaliza primary miaka hiyo ya 90's mwishoni, sasa kama mnavyojua mkiwa na group halafu wote mnajuana toka utotoni kunakuwa na utani mwingi sana,na me nilikuwa miongoni mwa wachangia mada maarufu kwenye group, sasa siku hiyo...
HISTORIA YA MAISHA YANGU
Naomba nielezee historia ya familia yangu kwa ufupi kidogo ili kuja kupata picha nzur badae.
Mimi ni mtoto wa 3 kwenye familia ya Watoto 5 nina dada ka kaka yangu ambao wakubwa kwangu na wana familia zao na Maisha yao na pia nina wadogo 2,mzee alishafariki tumebaki na...
Habari zenu wana jamii forum
Leo naomba niwaletee kisa cha ukweli kilichotokea miaka kama 9-10 iliyopita wakati wa kuhangaika na Maisha, naomba nikiri mimi sio mtu wa kupost sana mara Nyingi ni mtu wa kusoma tu content za watu.
Mtaniwia radhi kwa uandishi mbovu mana sio mtaalamu sana wa...
Ahsante kwa andiko zuri mkuu,kuna vitu gani vya msingi vitakavyokuwezesha kupata kazi mfano upwork kwasababu me niligerester kama mwaka hivi lakini sijawah kupata kazi huko
Habari wakuu,
Naomba msaada nina motorola droid hd ni ya Verizon lakini nikiweka simcad yoyote VODACOM, TIGO AU AIRTEL na kuenable data connection nashindwa kupata internet,ila nikitumia wireless napata internet naombeni msaada kwa mwenye ujuz na hii kitu
Habari zenu wakuu!!
Nina degree ya IT na pia nilijiendeleza kwa kusoma professional course za CCNA na MCP na kufaulu na kupata vyeti na ninaujuz wa kutosha baada ya hapo niliamua kufanya kazi ya kujitolea taasis fulani ili niongeze ujuzi zaidi sasa naona naweza kuingia kwenye hii dunia ya...
Habari zenu wakuu!!
laptop yangu ni Lenovo g570 ilikua na window 7 ultimate 64 -bit,ilikorofisha nikaiformat nikairudishia window 7 ultimate 64bit,tatizo linakuja haikubali kuinstall baadhi ya programs kama office,adobe reader,na zingine nyingi pia ukiclick set up file inakua inaload kidogo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.