Naomba msaada Motorola Droid Razr HD inashindwa kupata internet

Naomba msaada Motorola Droid Razr HD inashindwa kupata internet

banzy

Member
Joined
Sep 2, 2012
Posts
22
Reaction score
154
Habari wakuu,

Naomba msaada nina motorola droid hd ni ya Verizon lakini nikiweka simcad yoyote VODACOM, TIGO AU AIRTEL na kuenable data connection nashindwa kupata internet,ila nikitumia wireless napata internet naombeni msaada kwa mwenye ujuz na hii kitu
 
Usiroot kijana mtafute mtu akueleze just kwende kwenye Setting pale mobile network"&wireless add vpn ya mtandao husika
 
Back
Top Bottom