Hiyo nukuu ya 9 eti mtu kama kafeli somo la dini asiajiriwe!!!!. Kuna watu wenye PhD za theologia lakini wamedhalilisha watoto kingono. Uadilifu ni zaidi ya kusoma na kufaulu somo la dini!!!
Wakenya tatizo lenu kubwa ni ubinafsi uliokithiri. Kuhusu kukataa kuwauzia mahindi miaka miwili iliyopita, nakumbuka tulikuwa na uhaba wa mbegu za mahindi kabla ya msimu huo. Kenya ikazuia kuuza mbegu za mahindi Tanzania. Kwa bahati mbaya au nzuri??? Kenya ilikumbwa na ukame mkubwa hivyo taifa...
Kitine hana uhalali wa kumshutumu mwingine kwani yeye alikuwa na kasfa ya wizi wa millioni arobaini alidanganya matibabu ya mke wake.
Baada ya kashfa yake hiyo kuibuliwa na gazeti la rai wakati huo likimilikiwa na akina Jenerali Ulimwengu, akatumia influence yake kwenye usalama wa taifa kumvua...
Wapare wana msimamo na sio flip floppers kama wachaga. Enzi za RUWA wa wachaga, Mrema na NCCR wote walichagua wabunge wa NCCR kwa kuamini kuwa huyu Mangi angekuwa rais na mambo yao kuwanyookea. Lakini ilivyokula kwa Mangi wakaanza kurudisha majimbo CCM moja baada ya jingine, mpaka likabaki moja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.