Picha ya Nape na CCJ ni ya Photoshop

The tourist

Member
May 15, 2011
32
7
eti nape analalamika kuwa members wa jf wametengeneza picha ili kumchafua...... hebu tusaidiane kuicheki hii picha halafu tuambizane ni vp imetengenezwa

attachment.php


CCJ+2.JPG




Admin Note: The Picture above (which shows Nape with CCJ supporters in the background) was photoshopped from the bottom picture which show the leader of now defunct CCJ speaking to the press late last year). We thank our esteemed member who brought the later picture to our attention. We regret for any inconvenience and misunderstanding the former picture might have caused. The member who brought the faked picture will suffer an administrative ban. - JF Administrators
 

Attachments

  • 222895_191933747518977_100001070594562_492523_6438348_n.jpg
    222895_191933747518977_100001070594562_492523_6438348_n.jpg
    46.4 KB · Views: 2,001
gazeti likiruhusu kuweka picha ya uwongo nani anashitakiwa..

jf itajiangusha kwa kukubali kutumiwa na wachakachuaji.

Inelekea unajua mengi..nijibu swali langu...Huyo Nape alikuwa mwaznilishi kweli au ni uongo..achana na uchakachuaji wa picha kwa muda..
 
Hii imefanywa na mtu mwenye nia ya kumsafisha Nape kwa kuonyesha kuwa anasingiziwa. Mimi nilipoiona hii picha kwenye thread mojawapo niliishtukia kwa vile haikuoana na maelezo ya Mpendazoe kama ilivyolipotiwa na gazeti la Mwananchi na Tanzania Daima. Magazeti yote yameripoti kuwa walikuwa wanafanya vikao kwa siri, sasa iweje Nape azungumze na kundi la watu huku mabango yakipeperushwa? Kama ni hivyo si ingekuwa imefahamika siku nyingi? Mchakachuaji ana lake jambo na naamini si mwana JF.
 
gazeti likiruhusu kuweka picha ya uwongo nani anashitakiwa..

jf itajiangusha kwa kukubali kutumiwa na wachakachuaji.

Hili sio gazeti, hata kama picha zimechakachuliwa hiyo ni ishu ya members not JF, watu wengi tu huweka habari za majitaka humu ndani. Walaumiwe wao sio jamvi.
 
mpaka mnachakachua picha kudanganya watanzania. aibu kubwaaaa mibaba

nape endelea umewashika pabaya na panawauma
 
baada ya kuumbuliwa kuchakachua picha ya nape jf wanafuta posts za ccm na kuacha chadema

229465_213223342032420_100000342668655_729505_7624531_n.jpg
 
gazeti likiruhusu kuweka picha ya uwongo nani anashitakiwa..

jf itajiangusha kwa kukubali kutumiwa na wachakachuaji.
Wewe kuwa na akili JF una ifananisha na gazeti? hivi ulipo jiunga na JF ulisoma hata sheria zake zina sema je? Kila bandiko linalowekwa hapa ni mali ya mwekaji na siyo JF na hivyo JF haiwezi kuwajibika kwa Bandiko la mtu yoyote humu ndani maana siyo mali yao...
 
Jamii Forum always wanted proof of articles posted; I don't think JF participated in this kind of photo manipulation; we as members we do read news somewhere else and posted those artickles 2 JF and not JF as a source of those articles

What hurt CCM and others is the Member Participations who have better views of our Country Politics...

The smarter the journalists are, the better off society is. [For] to a degree, people read the press to inform
themselves-and the better the teacher, the better the student body.
 
Back
Top Bottom