Nafikiri kama mfanyabiashara ameshakadiriwa na mamlaka ya mapato,hakuna sababu ya kuwatumia task force kufuatilia tena kwa sababu hizi kodi zinalipwa kwa awamu nne katika kipindi cha mwaka mmoja, sheria ya kodi iweke wazi kama mtu ameshakadiriwa basi watumishi wa TRA wasiwasumbue na kukamata...
Hawa wapinzani walivyo wa ajabu, wanaweza wakaaungana na rais anaemaliza muda wake na kuendeleza hali ya ukandamizaji ambao raia walio wengi wanameukataa utawala wa Erdogan, Wapinzani wakiunganisha nguvu zao wote wana uwezo wa kuchukua serikali kwa 53%.
Sent from my SM-A013G using JamiiForums...
Unapofanya uamuzi kuhusu maisha yako, usitarajie sana maoni ya watu wengine kuhusu hilo jambo lako, maana mwishowe watakudisapoint tu.
Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
Kila wakati huwa najaribu kuacha kabisa kunywa pombe, maana nikinywa kichwa hakiachi kuniuma asubuhi yaani ni hali ambayo napenda kuaicha lakini kila mara nairudia hiyo hali.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.