Tunajua zinalewesha kwanini tunakunywa (pombe)?

Tunajua zinalewesha kwanini tunakunywa (pombe)?

Kila wakati huwa najaribu kuacha kabisa kunywa pombe, maana nikinywa kichwa hakiachi kuniuma asubuhi yaani ni hali ambayo napenda kuaicha lakini kila mara nairudia hiyo hali.
 
Back
Top Bottom