Napenda kujua nini hasa tatizo kwa Mabinti wa Siku hizi huwa hawawapendi Mama wa Mme wake, Nina Mfano hai mingi tu, Kijana unaishi vyema na upendo tu na ndugu zako huko especially Mama, Baba, Kaka na Dada zako, ila tatizo linakuja pale unakuja kuoa tatizo ndio ninaanza kwa Mkeo kuwachukia ndugu...