Recent content by Bandar Abbas

  1. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuhusu huyu beki tatu wangu, uvumilivu utanishinda

    Ukiona unaona hivo mkeo anagegedwa nje , hapa ni uhakika . Pili kapige mzigo mbali Sana , tena mchepuko asikione na gari wala jina lako rasmi sikujue .
  2. B

    JamiiForums Tanzania Wasio waislamu msilete ujuaji katika mambo ya Uislamu

    Hamna kipya chini ya jua , kama za bibilia tunazichambua na kudadisi uongo na kweli nikiwa muislam mbona cha kwetu wasiguze . Propendrance ya kiuhalisia ni kudadavua Jambo na kueleweshana ,ndio kunaleta maelewano makubwa . Hivyo kupinga issue isichunguzwe ,nikama kusema wanaume tusiyachunguze...
  3. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Napitia kipindi kigumu sana, naomba msaada wenu wana JamiiForums

    Kaka ,unamaanisha badala ulenge mwaka yakiisha Una millioni zako sehemu ,unawaza mbususu na inakupa wasiwasi 🤔🤔🤔
  4. B

    JamiiForums Tanzania Video: Clouds FM wametembea na mjadala niliouanzisha humu jukwaani kuhusiana na Wachina. Wachina wamefikiwa!

    Kuna tatizo na ni kubwa. Nimenotice Mikocheni, hata ninapoosha gari ni pa Mchina! Serikali za mitaa zimezembea.
  5. B

    JamiiForums Tanzania Ushawahi Kupokea muujiza gani ukaamini kuwa Mungu yupo?

    Unaelewa nini maana ya muujiza ?? Kama unaweza logically kuieleza huo sio muujiza . Nina jamaa rafiki yangu mpendwa kabisa , enzi zile sisi ndio werevu chuo ila tulikuwa maskini wa kutupwa . Tulipigika miasha kufikia kuchimba choo. Hatukuenda hata ft 4 tulipata kipande cha dhahabu , ikumbukwe...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Msichukie wanaofanya kazi kwenye NGO: Maisha ni riziki

    Ndio maana nimesema clearly ninayopinga , hayo mengine sina shida nayo , ila kuishi tukiomba misaada tutakuja liwa tako one day.
  7. B

    JamiiForums Tanzania Msichukie wanaofanya kazi kwenye NGO: Maisha ni riziki

    Kashifu yangu kuu na NGO's ni promotion ya ushoga na usagaji , mpaka leo nipo against hizo vices. Hapo pa mishahara , usiposema au kuwaambia watu unaingiza kipato kipi watajuaje ??? Sio kila mtu anayekashifu ana wivu , kuna substantive issues at play. Wana mazuri yao mengi na mabaya alike...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Onesha hiyo bunduki ya kapteni Ibrahimu Traore anayoweka kiunoni akiwa hapa Afrika

    Msela unapiga ubwabwa na maharage au chipsi zege ukiwa wapi ??? Unamkashifu jamaa kapiga coup na kuondosha mamlaka na hatujui ww umeifanyia nini nchi hii . Vijana wa mjini 😂😂😂😂
  9. B

    JamiiForums Tanzania Ila madalali bwana, sasa hii ndio nyumba ya milioni 35

    😂😂😂😂mkuu tundu la 40k lipo vp ??? Si imechoka balaa hyo
  10. B

    JamiiForums Tanzania Meli imeshusha mzigo, imeelekea Mombasa na kushusha na sasa imeishafika india! Siku 11, bado mzigo haujatoka bandarini, kisa mfumo wa TRA

    Nipo transport huu ni mwaka wa sita hivi ila miaka inavyoenda ndio hali inaendelea kuwa ovyo , TRA yaani daaah
  11. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mimi sio kungwi ila ni mwanamke, ichukue hii

    Mbona unakuwa mkali , mtoa mada ametema madini muhimu kwa vijana ila wao ndio hawaskii la mkuu.
  12. B

    JamiiForums Tanzania Nimeacha Kazi Bila Mkataba, Sasa Nadaiwa Kulipa au Kufanya Kazi Bila Malipo – Naomba Ushauri wa Kisheria

    Kisheria kama hakuna mkataba , unaweza kuacha kazi muda wowote au kusimamishwa bila taarifa, bila mkataba hakuna chochote hapo . Nenda zako bila hofu. Kiuhalisia hamna kitu kama inferred contract , kama hujaiba chochote na hudaiwi kitu ofisini usiwe na shaka. Akiforce nyote mnakula hasara.
  13. B

    JamiiForums Tanzania Huu mwezi mbona kama mgumu! Hivi mnatumia mbinu gani kuishi unapopita kwenye magumu na kutoka mshindi

    inaitwa njaanuary , kaza tu braza yatapita , muda kama huu usiendekeze yeyote anaomba hela mpaka mambo yatulie
  14. B

    JamiiForums Tanzania Hivi Waafrika hatuna akili?

    Tatizo lako na waafrika wanaofikiria kama wewe ni kuwa hampendi basic reading and research , ndio maana hamjui vumbuzi za weusi wenzetu. Medicine , science , mathematics zote zilianzia hapa afrika . Hyo touch ya simu unatumia , haingekuwa possible bila mtu mweusi kama wewe nenda karesearch...
Back
Top Bottom