Recent content by bana imbwa

  1. B

    Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    kuna wimbo mmoja wa bongo flava miaka ya nyuma enzi za university corner...(sikumbuki waimbaji) ilikua chorus yake inaitikiwa "braza braza braza... sawa braza" kama kuna anaejua hata kidogo anikumbushe group au anaeujua anao basi auweke
  2. B

    Guitar, Tv, deki na friji vinauzwa

    Nina elf 80 kama upo tayari nahitaji gitaa hilo Sent using Jamii Forums mobile app
  3. B

    Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Mwenye wimbo wa neck breakerz..SAWA BROTHER Sent using Jamii Forums mobile app
  4. B

    Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Mwenye wimbo ule uliokua unaoneshwa ITV kipindi cha hawavumi lakini wamo WAZAZI WANGU BABA NA MAMA MNANIAIBISHA KILA SIKU KUGOMBANA GOMBANA.... SIO VIZURI!
  5. B

    Nahitaji line ya tigo wakala

    Ukihitaji ya m pesa ni pm
  6. B

    Clouds TV mnatia aibu!

    Hiki kituo kiukweli bado kinahitaji kujipanga maana vipindi vyao pia haviendi na muda uliopangwa kwa mfano taarifa ya habari inabidi ianze saa moja na nusu ila utakuta inaanza hadi saa moja na dakika 37 au sports bar inaanza saa 4 lakin utakuta hadi saa nne na dakika ishirini bado hamna kitu...
  7. B

    Msaada Tafadhali Naihitaji Nyimbo Hii Nzuri Ya TOT Kwani Imebamba Na Itabamba Sana Ktk Kampeni

    Hii ikulu hii .....hii ikulu hii mi ndio nmependa kibwagizo hicho!
  8. B

    Namiss sana hizi mavitu: HIP-HOP BASE ya EATV, FIDYSTYLE YA CHEUSI DAWA TV

    Harakati halisi za hip hop kwa mtazamo wangu ni kama zinapitia kipindi kigumu sana japo naona watu wengi wameanza kuelewa na kukubali na kuipenda kwa dhati hip hop! Nadhani kungekuepo na programz nyingi ktk tv stations kama ile hip hop base zingesaidia sn watu kufaham hip hop,ila tunaona...
  9. B

    Project 'OKOA HIP HOP' ililenga nini ?

    hapana! Buster hakua na wala hayupo wu tang,hiyo alipost ktk moja ya page zake ktk social networks hapo alikua anaonyesha tu kuappreciate uwepo na harakati nzima za wu tang clan!!
  10. B

    Project 'OKOA HIP HOP' ililenga nini ?

    How can HiP HoP be dead, if Wu tang is forever!!
  11. B

    Matapeli wakubwa 5 kuwahi kutokea Tanzania

    Ha ha ha Babu yangu alishawahi kunisimulia habari za bwana batenga nikajua babu anataka tu aendelee kupata raundi nyingine ya bia (maana ni mnywaji na ana stori nyingi sana akishalewa) ila niliendelea kumsikiliza maana stori za huyo batenga ni za kusisimua mno,bahati nzuri leo nmekutana nazo...
  12. B

    Bajaj na Piki piki za mikopo..

    makato ni kias gani, na mfanyakazi atakatwa katika mshahara wake au atalipa kwa namna kama ya mfanyabiashara..pia deposit ni asilimia ngapi na mpo mkoa gani
Back
Top Bottom