Katika masuala yakuomba kazi Kuna kitu kinaitwa deadline au mwisho wakutuma maombi kwa mfano :deadline ni tarehe 22/8/2018 saa 9:30 alathiri, je ukituma tarehe hiyoo kabla ya Hayo masaa uko sawa????
Sent using Jamii Forums mobile app
NIANZE KWAKUSEMA BABA ALIKUWA NA WAKE WATATU ILA FAMILIA BABA ALIWEKA MIPAKA.BABA AMEFARIKI TAYARI MAMA WENGINE WAWILI YUPO MMOJA NA HUYO MMOJA AMESHA UZA KARIBU MALI ZAKE ZOTE LAKINI WATOTO WAKE WANATKA TUGAWANE MALI ZA UPANDE WA MAMA YETU TU ZA UPANDE WAO HWAZIPI MKAZO.ILA BABA ALISHA SEMA...
Mkuu twende polepole ili tupone kinachotokea hpo nikupta kinga tu au tiba kabisa ??? Tunaulza hivyoo ili tujue maana tuna ndgu zetu ambao wanahaya matatizo,last time Kuna ndgu yangu wakike alipata mchumba shekhe akaja akafunga ndoa mama akamuliza mmepima akajibu Hpna wakaamuriwa walale pale...
Mkuu kwanza kuishi naye sio tatizo hadi sasa kwa nilivyoo soma Uzi ila shida inakuja pale kwenye kile kinacho toa maana halisi ya mke na Mme, ila ukumbuke Kuna risk nyingi ukiacha tendo chamsingi hpo wewe usijali sana afya yako Bali Angalia zaidi Usalama Wa mtoto wewe utaweza kutumia KONDOM siku...
Wakuu,
Naombeni kufahamu ni mazigira gani yanaweza pelekea kupata maambukizi ya hivi ukiwa ili hali amevaa kinga.
Nalenga kujifunza zaidi maana tahadhari ni nzuri zaidi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.