Unawezaje kupata maambukizi ya UKIMWI kama unatumia kondom?

bambo nchimbi

Member
Mar 9, 2017
33
14
Wakuu,

Naombeni kufahamu ni mazigira gani yanaweza pelekea kupata maambukizi ya hivi ukiwa ili hali amevaa kinga.

Nalenga kujifunza zaidi maana tahadhari ni nzuri zaidi.
 
Unaweza kuvaa Condom huku ukijifanya Fundi wa kupiga gitaa kama ni ke au Me kuzama Chumvini .

Hapo utakuwa umejikinga kwenye Du+Du tu lakini ulimi ukiwa wazi unafanya kazi yake.


Pia Condom siyo Kinga 100% hivyo ni Risk pia kuitumia au kutoitumia .

Cha mwisho ni Kuacha zinaa kuwa na Mwenza mmoja mkapime mjue Afya zenu mjilie Tuda kiraha mustarehe.
 
Unaweza ukaambukizwa especially kama siku ambayo umeenda kucheza mechi ukawa umenyoa hayo mdude kwa kiwembe kukawa kuna michubuko hivyo pamoja na kwamba unapiga mechi kwa zana za kazi lakini yale majimaji yakagusa eneo lote la kinena
 
Umevaa kondom lakini unashiriki Oral sex, au unanyonya K...risk is bigger kuambukizwa!
 
Kama kondom umeitumia sahihi sidhani kama unaweza kupata...kuna muda watu wana vaa vibaya, pia kondom ni wakati unafanya yako nilazima iyangaliwe unaweza kukuta imepasuka ila wewe unaendelea..lazima upate
 
Back
Top Bottom