Sio kila wakati mwanaume anataka kufanya mapenzi na sio kila wakati mwanamke hataki kufanya mapenzi.
Hicho ni kitu nmejifunza hivi punde. Inasemekana kuwa wanawake hawapendagi ngono sana ila ni uongo. Kuna mida ikifika mwanamke anawaka moto na anataka kulala na mtu vibaya sana.Lakini pia...
Namba 10 kwkweli unazingua.. unalalamika nini sasa akati ukinyimwa tena unalalamika zaidi. Hahahahaha! Na ndio maana ukasema baadhi ya wanawake maana sio wote wako hvyo wale wasio hvyo kuna sabbu kwnn hawako kama hawa unaowaongelea. Tafuta wasio fanya hvyo waulize wananini ndo utapata jibu lako...
Ni sawa wadada tumekuwa warahisi mno sku hizi. Lakini pia kumbukeni anyewafany wanawake wawe maskrepa ni nyie wanaume... Mimba wanapewa na nyie na ukimwi wanapewa na nyie nyie wanaume kwahiyo wanaume kwanza nyie punguzeni demand ya wanawake ndipo wanawake(supply) watapungua pia na yote hayo...
Hapo ndo anaponichosha mimi.. kisa kila mtu anafanya na yeye eti anataka afanye. Kashaambiwa na marafiki zake huko.. na marafiki zake ni kama hawa wahumu ndani wasiokubaliana na hali yangu ya kusubiri ndo maana...
Ashawahi kudondoka mara mbili alikuwa mkoani akapitiwa akachepuka mara ya kwanza,alikuwa mkweli na akanieleza kila kitu, mara ya pili pia alikuja kuniambia nikamuelewa, huwaga ikiwa hivyo nasaidia kujifunza self-control na ndio maana mpka leo niko nae na hatuja sex coz huwa tunajitahidi...
Huu ushauri ni mzuri sana. Nilimuomba mungu nikapewa huyu ila sasa anakamatwa na sjui mashetani gani.. anang'ang'nia mambo hataki kusubiri akati mwanzo alikuw tayari
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.