Sitakusahau mke wangu Maria, I swear to God!

Sitakusahau mke wangu Maria, I swear to God!

Pole mkuu,Mungu akusimamie..pole sana...nimeshindwa kuzuia machozi yangu..
 
kama niyakubuni upon vizuri ila kama ni kwel duh pole tena pole sana
 
Pole sana ndugu yangu, Uko wapi? Nitakutafuta aisee, Mungu azidi kukulinda.
 
Rest in peace Maria
Nilifikiri ni hadithi kumbe ni kweli
Pole sana Mungu akuondolee maumivu uliyonayo moyoni
 
khaaa ila kwanini hukukaa naye uongee nini tatizo lake,ungejua atleast ingesaidia ungemzuia asijiuwe kisa unyama aliofanyiwa
 
Acha uongo wewe yaani mtu abakwe virusi vionekane siku hiyo hiyo halafu unakubali pole kwa stori za kutunga.
 
Acha uongo wewe yaani mtu abakwe virusi vionekane siku hiyo hiyo halafu unakubali pole kwa stori za kutunga.
Wapi nimeeleza story ni ya kweli, na wapi nimekubali pole ya mtu. Acha kujitia utahira soma kwa makini!
 
Pole sana mkuu. It is a touching story. R. I. P Maria.
 
Mwenyezi mungu awape subra wenye kufukwa na jambo kama hili na waofanyaji maovu mwenyezi mungu awabainishe,kwani sio kitendo kizuri kabisa kina mnyima mtu confidence....
 
Back
Top Bottom