Kwanini wanamke baadhi mnashindwa haya?

Kwanini wanamke baadhi mnashindwa haya?

Wakuu salama.

Nilitaka kidogo niwaulize wanawake/wadada baadhi kwa nini mnapokuwa kitandani mnashindwa haya?.


1.Mwanamke huwezi kukatikia mpini(hata) ukikatika hujui ni wakati gani ukatike?.


2.Mwanamke huwezi mfanyia rommnce mwanaume wako,wewe kila siku unataka uandaliwe wewe tu na akufanyie rommance yakutosha?.


3.We mwanamke kwa nini baada ya kugegendwa unashindwa hata kumfuta mwanaume wako(uchafu),aliotoka nao humo kwenye papuchi?.


4.We mwanamke kwa nini baada ya bwana wako kukufikisha kileleni (umeridhika) kabisa, unashindwa hata kusema asante?, usipofikishwa unaanza kulaum na kununa?.


5.We mwanamke kwa nini unakuwa mvivu kitandani,unapoambiwa kaa hivi na vile(style hii na ile) unadai umechoka?,hivi tukisema na sisi tuwe tunapiga bao moja tena dhaifu nyie mtafurahi?.


6.We mwanamke wewe kwa nini kila siku mnawalazimisha wanaume watumie condom(wale ambao hawapendi kutumia) wakati led pepeta zipo?,kwa nini nyie hampendi kuzitumia?,



7.We mwanamke wewe kwa nini unapofika kitonga kabla bwana wako hajafika unamlazimisha nae afike kwa kumwambia maliza nimechoka?,mjue wenye tabia hasa hii namba saba mnakera?.


8.We mwanamke wewe kwa nini mnapo gegedwa kidogo mnadai hamlizishwi,mnapogegedwa sana(mda mrefu) mnaona mnakomolewa?.


9.We mwanamke wewe kwa nini mnatoa shida zenu kwenye maandalizi ya mechi kipindi inataka kuanza au baada ya mechi kuisha?, kwa nini muwe mnaomba ovyo?.


10.We mwanamke wewe ambae tena hujaolewa (upo kwenye uchumba au una boyfrend) unanyonya dushe unafikiri mwanaume wako anakuchukuliaje,unajua mapenz,kahaba,malaya?.

Note:

Wanawake hela muombe sana,kusikia raha msikie sana tena kuliko sisi,na bado baadhi ya vitu hamuwezi,mnataka nini lakini!.

Moderetor naomba muuache uzi wangu msiifute na pia penye makosa msaidie kuufanyia marekebisho,maana nimetumia simu kuandika uzi huu.Naomba moderetor unisaidie kuedit kichwa cha habari kisomeke hivi "Kwa nini Wanawake(baadhi) mnashindwa haya?".

Asanteni.
Mkuu ukiona wewe unafanyiwa haya yasiyo ujue kuna mwenzako anafanyiwa kinyume chake!!!!!
 
Mkuu acha matusi jadili hoja iliyopo,nani kamponda mwanamke hapa?.

Hatutakiwi kuwambia ukweli kisa wasingekuwa wao tusingekuwa hapa tulipo?.

Mkuu ukweli huwa hauna tambia ya kuchagua, awe mwanaume au mwanamke lazima ukweli aambiwe.
Hata reply yangu ni mjadala nimesema 'baaadhi' ya wanaume na huu ndio ukweli na sitakaa nitengue hii kauli kuwa baadhi ya wanaume ni wapumbavu
 
Kwa thread hii ukipona namba flani basi namba flani umo, ila ndo ukweli wenyewe, na pia MTU mzima akivuliwa nguo huchutama.
 
Namba 10 kwkweli unazingua.. unalalamika nini sasa akati ukinyimwa tena unalalamika zaidi. Hahahahaha! Na ndio maana ukasema baadhi ya wanawake maana sio wote wako hvyo wale wasio hvyo kuna sabbu kwnn hawako kama hawa unaowaongelea. Tafuta wasio fanya hvyo waulize wananini ndo utapata jibu lako kwanini hao wako unavyowaona.
 
Mmh wanawake tumeumbwa na staha ya mdomo kuongelea vituko vya wanaume sita kwa sita ila kama tukisema na sisi tupaze sauti patakuwa kizungumkuti
 
Hizi zote ni mwanamke mmoja au wanawake 10?

Halafu hapo no 7 mi sijaelewa ujue. Kwani mwanaume kumaliza si ni hata sekunde tu akitaka? Sasa mwenzako ushamfikisha unataka uendelee tu kwenda wapi labda? Mi nilidhani huwa wanajichelewesha ili kuwafikisha wenzao, kumbe wazungu huwa wanakua mbali?
 
Mmh wanawake tumeumbwa na staha ya mdomo kuongelea vituko vya wanaume sita kwa sita ila kama tukisema na sisi tupaze sauti patakuwa kizungumkuti
sisi mbona tumeuliza? toeni majibu acheni kusema kuwa mnastaha, kuwa na staha ni kuongelea mambo yanayojenga bila woga (aibu) na kwa uwazi Tujadili pamoja hoja hizi za mtoa mada then waweza anzisha uzi wa kuongelea mambo yetu.
 
Yan mtoa mada umegusa penyewe nataman km wanawake wote wangekuwa na uwezo wa kuifikia jf...wangeelewa wanaume tunataka nn..huu ni ukweli mtupu!!..wanawake badilikeni hasa ile tabia ya nimechoka bhana fanya fasta nisepe zangu hasa akiwa hajatatuliwa shida ya hela...halafu inaboaa eti muda wa mambo..gf/mchumba anaanza na shida zake ooooh mara weaving mara kucha mara ile simu imeharibika mara.....mnaudhi mbadilike tofauti na hapo mmmmmmmh..2016..badilikeni


Mnataka kukatikiwa viuno kugharamia hamtaki.
Ebo! Kaombe bure kwa dada uone gharama yake.
 
Hizi zote ni mwanamke mmoja au wanawake 10?

Halafu hapo no 7 mi sijaelewa ujue. Kwani mwanaume kumaliza si ni hata sekunde tu akitaka? Sasa mwenzako ushamfikisha unataka uendelee tu kwenda wapi labda? Mi nilidhani huwa wanajichelewesha ili kuwafikisha wenzao, kumbe wazungu huwa wanakua mbali?
Hizo ni tabia za wanawake mbalimbali na sio mwanamke mmoja.

Baadhi ya wanaume kumaliza ni kuamua,lakini wapo pia wanaochelewa bila kuamua.

uimara wa mwanaume katika tendo unatokana na uimara wa misuli ya ub...o.
 
Hizo ni tabia za wanawake mbalimbali na sio mwanamke mmoja.

Baadhi ya wanaume kumaliza ni kuamua,lakini wapo pia wanaochelewa bila kuamua.

uimara wa mwanaume katika tendo unatokana na uimara wa misuli ya ub...o.
Basi wewe nawe ni tatizo. Yani kila unapogusa unakutana na tatizo?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom