Recent content by Bambanza jr.

  1. Bambanza jr.

    JamiiForums Tanzania Mdogo wangu ananifunulia mchumba'angu!

    thanx, lkn sipo hivyo siku hizi!
  2. Bambanza jr.

    JamiiForums Tanzania Mdogo wangu ananifunulia mchumba'angu!

    ha! Ha! Ha! Ha! Ha! Joke bt thanx kwa kunipa ukweli.
  3. Bambanza jr.

    JamiiForums Tanzania Mdogo wangu ananifunulia mchumba'angu!

    Heshima kwenu! Sijui nimfanyeje mdogo wangu wa tumbo moja, kwan nilimwamini sana hata nikimkuta na shemeji yake sikuwa na shaka kwamba kinaweza tokea chochote kibaya lakini nashangaa dogo anafunua uozo wangu wote, mara amueleze mchumba angu madem nliodat nao long time! Nifanyeje jamani?
  4. Bambanza jr.

    JamiiForums Tanzania Mambo kumi usiyoyajua kuhusiana na bar zenye guest

    Changudoa's tanzania union( c.t.u ) sory, je ndo kirefu chake?
  5. Bambanza jr.

    JamiiForums Tanzania Anayeongoza kusinzia mjengoni!

    vijana wapo serious balaaa!
  6. Bambanza jr.

    JamiiForums Tanzania Anayeongoza kusinzia mjengoni!

    uuuwi..! Wewe ndo umeprov yaliyokuwa yanasemwa.
  7. Bambanza jr.

    JamiiForums Tanzania Anayeongoza kusinzia mjengoni!

    ebu tupia picha hapa kama walivyofanya kwa wasire
  8. Bambanza jr.

    JamiiForums Tanzania Anayeongoza kusinzia mjengoni!

    Si watafute vitanda! Je doctor akilala wakati wa surgeon itakuaje...?
  9. Bambanza jr.

    JamiiForums Tanzania Nimefiwa na Mama Mzazi

    Pole sana!
  10. Bambanza jr.

    JamiiForums Tanzania Anayeongoza kusinzia mjengoni!

    Hivi upinzani mbona hawalali?
  11. Bambanza jr.

    JamiiForums Tanzania Anayeongoza kusinzia mjengoni!

    2.kaptn.john komba.
  12. Bambanza jr.

    JamiiForums Tanzania Kufanya haya mwanaume haipendezi. . . (Mwendelezo wa sisi ni wanaume bwana!)

    Haipendezi mwanaume mzee kumsema kijana 'eti kwanini haoi' utamlipia mahari? tulia ajipange kwanza (rejea kaul za wasira kwa Nnasari)
  13. Bambanza jr.

    JamiiForums Tanzania Anayeongoza kusinzia mjengoni!

    Habari zenyu jf? Ndani ya bunge letu kwa sasa ni vigumu sana ndani ya vikao kuona wabunge wakisinzia kama enzi zile nadhani ni kutokana na hoja nzito zinazotolewa! Lakini bado wabunge wazembe kimawazo bado wameendelea kuchapa usingizi bila aibu wakiulizwa wanadai "nilikuwa natafakari jambo kwa...
  14. Bambanza jr.

    JamiiForums Tanzania Harakati mapenzini.....!

    huyu nae usipojikusanya na vizawadi wala hakuchangamkii!
  15. Bambanza jr.

    JamiiForums Tanzania Harakati mapenzini.....!

    tulipanga ndoa 2014 kwan tumemalza chuo ndio kwanza tumeingia kazini bado mambo hayaja2lia, then kuna kitu umenisaidia! thanx..!
Back
Top Bottom