Hili fumbo wala silielewi.
Huyo baba kama anakaa tu nyumbani, inamaana fedha ya matumizi ya home inatoka wapi?. Au mama ndio anatoka kutafuta baba yeye ni kulala tu?.
Mtoa fumbo hebu tueleweshe hapo kwanza. Maana usikute huyo baba anapiga mishe kijijini Kantalamba then anapata fedha za kukidhi...
Tatizo la ajira asilimia kubwa linasababishwa na watendaji wa chini Serikalini. Unakuta mtu akitaka kuanzisha kampuni ambayo itaajiri vijana wengi kunakuwa na urasimu wa kupata vibali mfano Ardhi, brela, nemc n.k.
Nakumbuka raia mmoja wa Mauritius alishalalamika jinsi alivyosotea zaidi ya mwaka...
Hamna lolote. Wengi wanaompinga JPM ni wale majizi, mafisadi na wazembe ambao sidhani kama wanafika hata 10K kati ya WaTZ 50+.
Kama mlizoea vya dezo na uzembe imekula kwenu. Mtabanwa mpaka mkome.
Tena kwa huu uzushi wenu wa kwenye mitandao bora JPM awabane pumzi kabsaa.
Mimi hawa upinzani nliacha kuwaamini kabisa walivyompitisha Lowasa kugombea Urais.
Sina imani nao kabisa kwa sasa maana kila jambo linalofanywa hata liwe jema wanapinga.
Upuuzi wao wa kutunga mambo ya uongo na kupakazia umezidi kujidhihirisha kwenye hii issue ya kusema JPM yupo mahututi.
Hata...
Kuna watoto katika familia huwa ni wavivu, wezi wa Mali za baba yao, huwa wanatumia kila aina ya miadarati n. k.
Hawa huwa wanaonywa saa nyingine hata kwa kupigwa bakora ama kuwekwa lockup na baba yao.
Mitoto ya namna hii saa nyingine huwa hata inachonganisha familia mfano baba na Mama or...
Asilimia 90 ya watendaji wa Serikali ni wazembe na wavivu kupindukia. Hapa JPM anapigana vita ya kudeal na hawa wazembe na wavivu ili nchi iendelee . Ifahamike kwenye vita saa nyingine hata wasio na hatia uweza kufa.
So kwa wale ambao wanatumbuliwa kwa bahati mbaya hiyo ni ajali kazini.
Nadhani...
Hili jambo hata mimi huwa linanishangaza sana. Huwa nikipita vijijini nkaona watu wanavyochota maji ya majaruba ambayo ni machafu kwa ajili ya kutumia nawaonea huruma sana.
Wahusika wa miradi ya maji wameshindwa kuwaonea huruma ndugu zetu waliopo vijijini kwa kutafuta fedha za miradi ya maji...
Somo la uzalendo lizidi kufundishwa kanisani na misikitini.
Maana walimu wetu wa siku hizi ndio hivyo, wenyewe wamekosa uzalendo.
Pia JPM, KM na wengineo wenye uchungu na maendeleo ya nchi waendelee kuwabana watendaji wazembe hadi kieleweke. wasisikilize kelele ama porojo za mitandaoni. Maana...
Tatizo moja viongozi wengi wanaoteuliwa hawana dhamira ya kweli ya kuhakikisha nchi inaendelea. Viongozi wengi kuanzia ngazi ya chini hadi juu ni wabinafsi sana na hawajitambui.
Ndio maana unaweza kusikia Serikali imetoa ela ya kujenga kituo cha afya Ila kituo husika kinaweza kisijengwe kwa...
Umejuaje kama muda maalumu unaousema haujafika?. Na je kama ilipata hitilafu kiasi kwamba haiwezi kuruka kwenda garage ulitaka wafanyaje?. Wiki iliyopita tumeshuhudia ndege ya urusi ikipata hitalafu angani na kutua porini.
So nao wamenunua ndege mbovu!!?.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.