Recent content by BALOTEL

  1. BALOTEL

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Kamati Kuu CCM kukutana usiku huu. Wajumbe wanaletwa kwa ndege na helikopta

    Jamani vip huko ndege zinatua na kuruka kama kawida au ? Hiyo ndio dalili ya kwanza ya uasi
  2. BALOTEL

    JamiiForums Tanzania Mrejesho wa Safari yangu ya Dar Kigoma na kurudi Dar. Nimetumia mafuta ya Tsh 230,000/= tu!

    Inaelekea wewe sio member kabisa wa vitu pendwa. Kigoma hapa ungepita Nyumbani Park upate Samaki safi na Kinywaji baridii, huku ukipapaswa na Malkia wa Kiha. Next time nicheki
  3. BALOTEL

    JamiiForums Tanzania TRA na PCCB wakiingilia hili suala la yanga TFF hawachomoki hapa

    Hii nzuri ila No R NO E
  4. BALOTEL

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwenye uzoefu wa aina hii ya mahusiano. Mawazo yake

    Sio mshangazi wa mbezi beach kweli huu. Baba yake alikua Baloz nchi Fulani. Una watoto wawili
  5. BALOTEL

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Yupo course ghafla tu Kaninunia?

    Nani alikuambia mfunga buti ni mpenzi wa kuwa naye. Fanya namna nyingine Meku
  6. BALOTEL

    JamiiForums Tanzania Wolper: Steve mnamtukana na kumdharau siku akifa mtamkumbuka sana

    Anakufa lini kwani
  7. BALOTEL

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume wa humu mna dharau sana

    Pole sana Marry. Hili limeniumiza nimelia sana . Lakini nikuahidi jambo moja ukipata muda karibu nyumbani nikupikie tuangalie Move kisha twende Beach tukapunge upepo. Dharau zao zitaisha Marry. Take care Eid Al adha Mubarak
  8. BALOTEL

    JamiiForums Tanzania Wadau nataka kujiua

    Leo au lini?
  9. BALOTEL

    JamiiForums Tanzania Natamani sana kuacha pombe ila nashindwa

    Umecheki naniliuu ipo Salama? Maana hujui hata ulirudije gheto. Nikushauri tu usipoacha pombe utaishia gheto hadi uzeeni. Kuitwa Baba mwenye nyumba sahau
  10. BALOTEL

    JamiiForums Tanzania Wakati Wakifikiri wamemaliza kazi, ndiyo kwanza watu wapo kupanga ratiba ya kazi

    Wamekuchochea wapi hao wanaharakati?
  11. BALOTEL

    JamiiForums Tanzania DC Albert Msando: Gwajima ajitokeze alipojificha aelezee umma kilichotokea

    Ngoja siku na yeye yamkute
  12. BALOTEL

    JamiiForums Tanzania Pongezi kanisa limefungiwa, ila wanapenda amani tunashauri jamhuri imfungulie kesi ya uchochezi na uvunjifu wa amani Askofu Gwajima

    Kwanini asigombanishe kijiko hadi akimbilie Uma, empty head weee
  13. BALOTEL

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimeshangazwa na mwanamke kuniomba sex

    We ni wa kiume kwani?
Back
Top Bottom