Hawa wanawake bhana duuh kuna jamaa ni ticha juzi kati kakosa kufa na BP sababu ya mke yaani mke alikuwa anatoka na kishikaji ambacho kilikuwa kihawala cha binti wa huyo mama tena kimempa had mimba binti yake daah Yan ni hatareee ticha BP ilipanda had akawa anatoka had damu puani ikabidi serkal...
Boss nenda buswelu au kisesa ndio maeneo ambayo sahiz miji inakuwa Fasta sana ukiweza nicheki nikuunganishe na mtu anayehusika na viwanja anavyo vingi sana na vimepimwa nikuchagua wewe tu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.