Recent content by BALINGILAKI JOSEPH

  1. BALINGILAKI JOSEPH

    Ushauri: Serikali mrejesheni haraka mwalimu aliyesimamishwa kazi

    Yaani wewe ni pumba kabisa,hivi umeonana vile viboko vya unyayoni?vipi katka maisha yako ya shule uliwai kuchapwa viboko kwenye unyayo?
  2. BALINGILAKI JOSEPH

    Elimu ya bure kuhusu Azam TV

    sasa hapa ametumia lnb ya njia 2 au kaunganisha lnb 2 kila moja kwa satellate yake?
  3. BALINGILAKI JOSEPH

    Kishoka maarufu wa Kike Jasmin Anaswa Bukoba na TANESCO

    MUNGU WANGU! Huyu dada kakamatwa na kuachiwa?kuna jamaa yangu alimuingiza mjini na kulamba mshiko wake laki 5 cash,baada ya kujifanya kuwa yeye ni afisa usalama toka tanesco akimutuhumu kuwa walimuunganishia umeme kinyume cha utaratibu na kumuonyesha hati ya mashitaka feki kuwa alikuwa tayari...
  4. BALINGILAKI JOSEPH

    Je, mita za LUKU zinawasilianaje na server za TANESCO?

    Majibu kwa wote..ndani ya hiyo meter ya luku kuna line (simcard) ya mtandao wa vodacom. Line hiyo ndo uwa inafanya mawasiliano na server ya vodacom kwenda tanesco.
  5. BALINGILAKI JOSEPH

    avatar 2 is back

    NA zile dongle za hawk,ndo namna gani au biashara kwisha?
  6. BALINGILAKI JOSEPH

    avatar 2 is back

    Vipi zile dongle za HAWK?
  7. BALINGILAKI JOSEPH

    Home box receiver open dstv, canal sat and aljazeera sport via erthnet free

    vipi ,kuna WIZ 8040 HD,Premier,inaweza fanya mavitu haya?manake naona spacification zake zinafanana
  8. BALINGILAKI JOSEPH

    Kwa watumiaji wa g mail-tahadhari, tahadhari

    Ahsante sana mkuu kwa habari hiyo nami nilíiona nikaipotezea.
  9. BALINGILAKI JOSEPH

    5 gb ya vodacom vs 5 gb ya Airtel

    airtel ni noma kwa coverage anaekataa anaishi Kariakoo
  10. BALINGILAKI JOSEPH

    Juma Nkamia: JamiiForums inachafua na kuwagawa Watanzania

    Nimetokea kumchukia JUMA NKAMIA tangu alipotamka maneno ya kijinga Bungeni.
  11. BALINGILAKI JOSEPH

    Tiba/Dawa kwa mtoto au mtu kikojozi

    Kwa muda mrefu kumekuwepo maelezo mengi dhidi ya tiba ya mtoto kikojozi. Sasa naleta kwenu tiba asilia ya kuacha kukojoa kitandani ni ipi?
  12. BALINGILAKI JOSEPH

    Tiba kwa mtoto kikojozi,msaada jamani

    Kwamuda mrefu kumekuwepo maelezo mengi dhidi ya tiba ya mtoto kikojozi,sasa naleta kwenu tiba asilia ya kuacha kukpojoa mkitandani ni ipi?
  13. BALINGILAKI JOSEPH

    Frequency mpya za Channel ten hizi hapa!

    kama wewe mkali wa frq,nipe za C2C,DTV,CTN,ZNB(TVZ)
  14. BALINGILAKI JOSEPH

    Ulimwengu wa FTA Satellite TVs

    Huyu jamaa ameanzisha somo ambalo kamwe wanafunzi hawawezi kufaulu mtihani.,kwa vigezo vifuatavyo. 1.Kuna aina nyingi za madish na ufungaji wake,kuna mwanafunzi anaweza kushindwa hata kuunganisha dish tu. 2.Kuna aina nyingi sana za Satellate Receiver na kila receiver ina installation...
Back
Top Bottom