Frequency mpya za Channel ten hizi hapa!

Frequency mpya za Channel ten hizi hapa!

Thanx hatmaye na mi leo nimezipata duh!Safi sana mdau...
 
Vp wadau wa fta? naweza kupata frequency mpya za KBC coz ni mwz sasa spati hii chnel..
 
hata mi pia KBC na WBSTV. zimepotea kwny KU band yangu niloifunga chini ya. Cband yenye local chaneli
 
jaman naomben frequency na symbol rate ya channel ambazo kwa sasa zinaweza kupatikana kuptia ku band
 
kote mkuu ikiwa chn au juu

du we kwel ni mroho, KU ikifungwa juu kuna chanel zaid ya 30. za nigeria na ulaya.
ukifunga chin hadi leo kuna ch 2 tu za kenya baada ya KbC na WBS kupotea ghafla
 
Hiyo lnb ya ku inafungwa vipi unatoboa ile ya c band ama unaibandikiza juu yake tafadhali nieleweshe mkuu na ni c band ya local ama ya aljazeera.
 
Asante sana mkuu nime-edit transponder picha inaonekana very clear kama dijitali
 
Hiyo lnb ya ku inafungwa vipi unatoboa ile ya c band ama unaibandikiza juu yake tafadhali nieleweshe mkuu na ni c band ya local ama ya aljazeera.

namaanisha ni juu ya local chnl,
kama we ulipandsha tena C ya aljaz hapo cna utaalam tusubir wanaopandshaga zaid ya mbili
 
namaanisha ni juu ya local chnl,
kama we ulipandsha tena C ya aljaz hapo cna utaalam tusubir wanaopandshaga zaid ya mbili

Kama umefunga C band 2,unatoboa ile ya Aljazeera,kisha unagandisha kwa glue KU juu yake. Ukipatia vizuri unaweza kupata freq zote nne yaani (12722,12682,12562,na 12602).
 
DTV bado sana kurusha kwenye satelite ,TV ambazo zipo kwenye satelliite ya intersat 906 64 E ni ITV,EATV,CHANEL TEN,CAPITAL,TBC1,starTV,TV imani,TIM,TM2,tm1 TBN,JCTV zote ni bure for info contact 0656206129/o654405727 DSAT acredeted installer

tupe freq za tbn na jctv
 
Back
Top Bottom