Unafunga dish la sentmita 90 kuona dstv na kama wataka kuona canalsat unafinga dish jingine. Namna inavyofanya kazi inatumia erthnet hii inamaana kama una internet lazima iwe ya cable na kama unatumia moderm basi unafunga rooter kupata erthnet cable.
Ile ni dongle mpeg 2 haina option ya hd channel wala recoding na ipo senstive katika stremeang wakati wa kuangalia channel sababu inakuwa inatumia rooter ya 3g.
Dish inakusaidia kupata signal ya dstv au free to air, internet inawezesha kufungua channel zilizo kuwa schambled kama dstv, canasat and aljazeera sport
Mkuu hebu toa darasa kwa upana, kwa hiyo kuna channel unaweza kuziona bila kuwa na internet au internet ni lazina? Pia hii ya kwako ni too expensive kuliko zile za dongle ambazo ni hd.
Ukiwa huna internet na ukafunga dish ilipo dstv utaona itv, ch5, ch10, tbc, startv, atn, sentanta sport na nyinginezo. Na ukifunga dish ilipo aljazeera utaona dubai one, dubai sport, abudhabi8 na nyingine nyingi free.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.